Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Peter Msigwa naye atakuwa sukuma gang.
Hii nchi vinatakiwa viboko kwa kila mtu, hakuna demokrasia sijui katiba itakayomuweza Mtanzania mjinga kwa sasa.
Chapa mijeledi na viboko, sweka watu jela, filisi watu wajinga, wezi, wahujumu uchumi nk...ukifanya hivi 20yrs mambo yatanyooka na kila mtu atatii, hapo ndio unaweka sasa Katiba na demokrasia maana nzi wote wanakuwa mbali.
Moja ya strategy kwenye management ni kuwavuruga kwanza watu, hasa hawa waliokaa pamoja muda mrefu na kutengeneza vicartel vyao ndani ya mifumo, maana hivyo vicartel hukwamisha kila kitu kitakachoharibu maslahi yao.