Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Hata umeme unakatika mbele ya waziri mkuu
Ufipa nafsi zinawasutaZitto wakati akihojiwa na Clouds alikiri kipindi cha JPM watumishi walikuwa na nidhamu magazine na walikuwa wanatekeleza wajibu wa vizuri kwa umma.
Mzushieni ila jamaa alitengeneza nidhamu ktk taasisi za umma.
Wamesha double na kuweka lumbesa kabisa kwenye bei ya ndege huko!Hii nchi vinatakiwa viboko kwa kila mtu, hakuna demokrasia sijui katiba itakayomuweza Mtanzania mjinga kwa sasa.
HahahahaWamesha double na kuweka lumbesa kabisa kwenye bei ya ndege huko!
Eti watupishe,
Inasikitisha sanaMatokea ya nidhamu kushuka yameshaanza kuonekana kwenye report ya CAG.
Anaweza kuthibitisha Hilo?Mbunge msitaafu wa Jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA mchungaji Peter Msigwa ameivaa serikali ya Rais Samia kutokana na kushuka Kwa nidhamu ya watumishi wa umma nchini.
Msigwa amesema utendaji kazi wa watumishi wa Serikali kwa sasa ni wa hovyo sana tofauti na kipindi cha Rais Magufuli.
Sasa hivi rushwa, ufisadi na kupoteza muda ni kama fashion kwenye serikali ya Rais Samia.
Halafu ni Wachache Wana KAZI za Kufanya Asubuhi mpaka Jioni. Wengine Story na utaambiwa kuna Uhaba WA Watumishi. Utumishi WA Umma haufatlii Watumishi hufanya na hufanyaje Majukumu Yao Daily. Ni Chai, Chat, Lunch + home. Wengine kuvizia Safari Wajipatie Laki 2 Kwa Siku. Kuna Watumishi wanasafiri miezi hawapo Ofisini. Vikao vya posho kila SikuMbunge msitaafu wa Jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA mchungaji Peter Msigwa ameivaa serikali ya Rais Samia kutokana na kushuka Kwa nidhamu ya watumishi wa umma nchini.
Msigwa amesema utendaji kazi wa watumishi wa Serikali kwa sasa ni wa hovyo sana tofauti na kipindi cha Rais Magufuli.
Sasa hivi rushwa, ufisadi na kupoteza muda ni kama fashion kwenye serikali ya Rais Samia.
Report ya CAGAnaweza kuthibitisha Hilo?
Inasikitisha sanaMtumishi analipwa 2m Kwa Mwezi, lakini anaamka Asubuhi kwenda Ofisini hajui anaenda Kufanya Nini. Hakuna KAZI za uzalishaji.