Uchaguzi 2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

Sijaona kipya hapo, kwa hiyo Kikwete asimnadi Ridhiwan ? Au mzee mwinyi asimnadi kijana wake ?

Mbona mnawehuka mapema hivi
 
Jakaya Mrisho KIKWETE alimtumia Ridhiwani kikwete kwenda kutafuta wadhamini 2010 hapo lumumba walikosekana watu wa kwenda kutafuta wadhamini?
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

saa ngapi utapata mtoto mwenye akili kama huyu wa Msigwa? Hata aibu halina lioneeee!! Mtoto kamwaga points mwanzo mwisho!!
 
Kipya kipi hapo?

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Mataga mmebaki kama kuku aliyekatwa kichwa!Mmebaki kila mnalookoteza mnakimbia kuandika JF!
Home of GT kweli unatuletea porojo kama hizi?Shame!
Mkikosa cha kuandika kheri mkae kimya!Hamjamuona mke wa JPM akimuombea kura mumewe?Cha ajabu nini hapo?
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

Yehodaya,
Umepotea, umeacha kumkampenia mgombea wa chama chako, umeacha kupinga hoja za CHADEMA, umeacha kumkosoa TAL, SASA unafanyia CHADEMA campaign! Angalia maboss zako wasione huu uzi, utaondolewa kwenye payroll!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…