Pre GE2025 Peter Msigwa amwandikia Mbowe barua akidai fidia ya Tsh. Bilioni 10

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuachie mamlaka yatabainisha ukweli. Alisikika kwenye maswali aliyokuwa akijibu kwenye mtandao wa sauti ya watanzania akimtaja ally kama kiongozi hatari wa kikundi cha hamasa cha chadema na siku chache baadae mzee ally kauwawa kikatili.
mungu wangu eee kumbe msigwa ndo muasisi wa mauaji na utekaji
 
Baada ya kuvaa hiyo kofia amekuwa kama anajingojea miezi 9
 
Hao mawakili wanataka kumaliza hela yote Msigwa aliyonunuliwa ili atakapoambiwa alipe bilioni 5, asiwe na chochote.
 
Huuu!!!! Haaaa!!!! Master.

Mashamba na nyumba za Hai zitapigwa mnada
Ninyi mdanganyeni hivyo hivyo Msigwa. Mnataka Msigwa aufikie uzee kwa mateso na simanzi kubwa. Atawalaani mliomdanganya.
 
Msigwa damu ya Marehemu Kibao itakutesa hadi siku unaingia kaburini na utapitia mateso makubwa kuliko aliyopitia Mzee Kibao
Sidhani kama hiyo kauli ndiyo sababu ya kuuwawa mimi nazani CDm mtu mwenye mikati ysa front ni bonifasi Jakobo kwa sababbu yeye yupo front kabisa kwenye mapambano
 
Mwehu huyu!
 
mbowe ni kiumbe wa kutomwamini kuliko viumbe wote. anakula kwa ajili ya siasa. yupo kazini hapo. anapiganisha vijana yeye ananenepa.
 


Chawa una 4 days !
 
Wamesema pia kuwa Msigwa yuko tayari kwa mazungumzo ya kutatua suala hili kwa njia ya amani, lakini ikiwa Mbowe ataendelea na madai yake, watafungua kesi ya kisheria ili kujitetea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wamesema pia kuwa Msigwa yuko tayari kwa mazungumzo ya kutatua suala hili kwa njia ya amani, lakini ikiwa Mbowe ataendelea na madai yake, watafungua kesi ya kisheria ili kujitetea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Barua hiyo imehitimishwa kwa kuashiria kuwa Msigwa ana nia ya kutafuta suluhu nje ya mahakama, lakini yuko tayari kupambana kisheria iwapo haitapatikana njia mbadala
Barua hiyo imehitimishwa kwa kuashiria kuwa Msigwa ana nia ya kutafuta suluhu nje ya mahakama, lakini yuko tayari kupambana kisheria iwapo haitapatikana njia mbadalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…