Pre GE2025 Peter Msigwa amwandikia Mbowe barua akidai fidia ya Tsh. Bilioni 10

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa hajaua na kamwe siyo muuaji

Tuache upuuzi wa kusingizia

Tubaki kwenye ramani ya mbowe na msigwa
Nani kasema kaua?
Shida inakuja kwenye tuhuma zake kuwa marehemu Kibao ndiye mwana mikakati ya kisiasa ya Chadema
 

Msigwa aachane na habari ya ulanzi hasa uliolala au basi akajipe retreat angalau ya wiki moja tuuuu
 
Wamesema pia kuwa Msigwa yuko tayari kwa mazungumzo ya kutatua suala hili kwa njia ya amani, lakini ikiwa Mbowe ataendelea na madai yake, watafungua kesi ya kisheria ili kujitetea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Barua hiyo imehitimishwa kwa kuashiria kuwa Msigwa ana nia ya kutafuta suluhu nje ya mahakama, lakini yuko tayari kupambana kisheria iwapo haitapatikana njia mbadala
Barua hiyo imehitimishwa kwa kuashiria kuwa Msigwa ana nia ya kutafuta suluhu nje ya mahakama, lakini yuko tayari kupambana kisheria iwapo haitapatikana njia mbadalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mawakili njaa hawa/ au wanajua kabisa kuwa msigwa hachomiki wanamlia hela zake!
Zikiisha/wakizimaliza ndio kuna rangi hajawahi ona ataziona sasa
Samawati
Chanikiwiti nkπŸ˜€
 
Huyu Mzee wa njaa kali aka Yuda eskalioti aka mchungaji FEKI ana tuhuma nzito kwamba ndiye alichoma UTAMBI hadi kupelekea Mzee Ally kupatwa na hayo maswahibu ya mauti.

Ajitokeze haraka na kuomba msamaha kwa familia na watanzania haraka iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…