Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #21
18.Jimbo lina kata ngapi?
Duh,Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa mjini
Atafute boda ya mkataba tuAlipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..
Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.
Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.
Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?
KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29
KATA YA MSHINDO
MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Hivi anayekubalika hapo Iringa ni Msigwa au Chadema?Msigwa anakubalika Sana Iringa Kama sio magufuli kuharibu uchaguzi angekuwa ndo mbunge hapo
Kazi ccm zipo nyingi sana kuna ukuu mkoa kuna nini msigwa ni rafik yangu sana ana connection sasa best friend wa makala hawezi shindwa kuotea hata ukuu wa wilaya tuAlipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..
Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.
Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.
Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?
KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29
KATA YA MSHINDO
MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Nadhani iliyokuwa inakubalika ni Chadema sio Msigwa. Iringa ni ant CCMMsigwa anakubalika Sana Iringa Kama sio magufuli kuharibu uchaguzi angekuwa ndo mbunge hapo
Tunasubiri hao “Malaya” watakapohamia upinzani na tuanze kuwasifuWewe uliamini Msigwa au malaya yoyote wa kisiasa aliyehamia CCM anaweza kupenya kwenye hizo kura za maoni?
Kifupi, hakuna wa kupenya.
Aisee naona Moses Ambindwile anawapiga mbali sanaAlipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..
Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza au kuwa wa pili.
Nitakuwa naweka matokeo ya hapa mjini kwa kadri nitakavyokuwa nayapata.
Hivi kweli Msigwa ni wa kuiita CHADEMA ni mama wa Kambo?
KATA YA KIHESA
216 Mosses
NGAJILO 133
Nguvu 14
Msigwa 16
Islam 8
Jesca 29
KATA YA MSHINDO
MOSSES 54
NGAJILO 50
Huel 5
Jesca 3
Msigwa 2
Nguvu 2
Hiyo nayo ilikuwa vita ngumu.Raphael Chegeni na Titus Kimani.. wale jamaa ilikua ni km Real Madrid na Barcelona huwezi kujua nani atashinda... Kama record zangu ziko sawa wale jamaa wamekalishana bench kama mara mbili, full kubadilishana ubingwa.
Ukuu wa wilaya na mkoa ni nafasi za makada kumbe?Kazi ccm zipo nyingi sana kuna ukuu mkoa kuna nini msigwa ni rafik yangu sana ana connection sasa best friend wa makala hawezi shindwa kuotea hata ukuu wa wilaya tu
Kabisa na angekuwa mbunge sasa hivi.Msigwa mjinga kweli aliacha kuunga juhudi kipindi cha magu
Mwita Waitara mbona alipenya Tarine mkuu?Wewe uliamini Msigwa au malaya yoyote wa kisiasa aliyehamia CCM anaweza kupenya kwenye hizo kura za maoni?
Kifupi, hakuna wa kupenya.
Ngajilo ndiye anayeongozaAisee naona Moses Ambindwile anawapiga mbali sana
This time Wana iringa mpeni kijana wenu mzalendoAlipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega..