Peter Msigwa avamiwa na vibaka maeneo ya Ikulu

Peter Msigwa avamiwa na vibaka maeneo ya Ikulu

Mara ya mwisho nakumbuka kamnanga Kagaseheki kuwa nahusika na huu ujangili
isije ikawa Kamuhanda anajibu mapigo ya kelele za kutaka ajiuzuru maana Msigwa alisimamia maandamano!
get well soon kamanda ila yakupasa kuwa makini maana Tz ya sasa imeshapinda
 
huyu hapa anafunguka facebook
""niliharibikiwa na gari maeneo ya kutokea ikulu mda
sio mrefu,nikavamiwa na vibaka saba mimi pamoja
na dereva wangu ambaye alikuwa anafungua tairi
nimepigwa vizuri ,na nimenyang'wa simu zote na
pesa pamoja na waleti ,hii ndio bongo , ....watu
wengi nitakuwa nimepoteza namba zenu""

.. (ni ikulu ya magogoni)

my take.: Askari wapo bussy na sheikh ponda na faridi?? Its a big joke

pole mheshimiwa, lakini, ni vibaka ukweli au wale jamaa wa uwt? Maana hayo maeneo ni nyeti! Kama ni vibaka wa ukweli wasamehe, ni njaa tu kinyume chake take care
 
Back
Top Bottom