Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Nilimuona kamanda wa daraja la kwanza alipogoma kupokelewa matarumbeta ya Polepole
 
Umesahau! CCM nanyi si mnamuamini Magufuli tu.
 

Mwamba mwenyewe atachukua lini?
 
Sijui akipitishwa kama atapata hata kura moja
Huyu piter msigwa ni jembe tunamkubali ana IQ KUBWA SANA, huyu jamaa ni wa ukweli weka jina baba wewe tundu lissu wote majembe . nchi hii imewatenga sana watumishi wa umma miaka mitano wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii kukuza uchumi wa nchi lakini maslahi yao na haki zao hazizingatiwi wapi na wapi, uchumi wa viwanda bado ni ndoto kwa sababu ili viwanda viweze kuzalisha lazima vipate malighafi kutoka kwenye kilimo sasa kilimo kimetupwa kapuni hapo utasemaje uchumi wa viwanda unakua uongo mtupu, pia wataalamu wa kilimo wapo wengi na hawatumiwi ipasavyo .
 
Msigwa anataka kuvuruga! Anaweza akawa Rais, tena sana sana, Lakini nani anamjua kwa kiasi cha kuhaguliwa? Nina mashaka na hapo!
 
Zote geresha. CHADEMA watasusia uchaguzi kupgopa kushindwa vibaya
 
Sio mzaha anajua hawezi kupata ubunge hata kwa wizi kama lijualikali
 
Kwanini unahisi ama unadhani hajajiandaa?

Kitu gani kinachomuondolea sifa ya kugombea?
 
Ametangaza nia tu mnaweweseka,,? Je chadema ikichukuwa nchi sindiyo mtaweuka, msigwa ni bora mata 1000 ya jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…