PreGE2025 Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Angalao kaambulia wafuasi wawili Luca na Choice variable
 
Ajikite kwenye uchungaji, siasa imemshinda. Amezoea kusoma vifungu vya Biblia.
 
Hivi kama madai ya Msigwa ni ya kweli mbona sisi CHADEMA akiwemo na yeye tumeandamana maandamano ya AMANI Nchi nzima?!

Kama sisi tungekuwa Watu wa vurugu Tanzania ingetawalika kweli?!

Wito wangu kwa Msigwa kumbatia Kibuyu chako lamba Asali yako kwa utulivu.
 
Kwa hiyo Msigwa amehamia upande unaoheshimu Katiba ya chama, lakini unavunja Katiba nchi, na haki za wananchi?! Msigwa alitakiwa atafute jukwaa lingine la kuendeleza mapambano ya tume huru na katiba mpya, sio kusalimu amri kwa Ccm.
Anajidharaulisha tu Watanzania wa sasa sio wa miaka ile ya kudanganywa danganywa 😳🙌
 
Your browser is not able to display this video.

Chama hatari cha kuchunguzwa ni chama alichopo.

Kama chama hakiamini maamuzi ya wananchi kwenye sanduku la kura basi machafuko ndio yataleta heshima.

Na hicho chama ni kipi kama sio CCM?
 
Mlikuwa mnaandamania nini?

Jibu ni kwamba baada ya maandamano yenu ya awali kupuuzwa Sasa mumepanga kuleta wavuta bangi wafanye looting Ili Mpate attention na kuharibu amani.

Mnatakiwa kudhibitiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…