Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo angeshinda ile nafasi angeondoka au angevumilia kuendelea kutumika?Amesema amelazimika kuondoka kwenye chama hicho kwa kuwa hakuwa tayari kushuhudia akiendelea kutumika, kwani kwa muda mrefu amekuwa akikosoa sera na mipango ya CCM na serikali wakati ndani ya chama chao (CHADEMA) mipango na Katiba havifuatwi
Hiyo ni kawaida katika siasa,,,kwahiyo wala msishangae,,ndio maana lowasa alikuwa mbaya ccm,alipoenda chadema akawa mtamutatizo lao ni kuwa vigeugeu akiwa huku ataponda kule akienda kule atachafua huku.
Lowassa hakuwa mropokaji yule mwamba, aliujua umuhimu wa kuwa na akiba ya maneno. Ni mfano mzuri sana wa kuigwa kwa wote wanaohama vyama.Hiyo ni kawaida katika siasa,,,kwahiyo wala msishangae,,ndio maana lowasa alikuwa mbaya ccm,alipoenda chadema akawa mtamu
🤣🤣🤣haka kazee hata ile heshima ndogo kaliokua nayo kameamua kuipoteza
Bibi Vipi?Huyo mzee ni poyoyo, hao aliowataja ni professionals siyo mashabiki ubwabwa kama yeye.
Kaamua kunya sebulenihaka kazee hata ile heshima ndogo kaliokua nayo kameamua kuipoteza
Faiza humuungi mkono msigwa?Huyo mzee ni poyoyo, hao aliowataja ni professionals siyo mashabiki ubwabwa kama yeye.
Msigwa ni mchungajiFaiza humuungi mkono msigwa?
kwani kwa muda mrefu amekuwa akikosoa sera na mipango ya CCM na serikali wakati ndani ya chama chao (CHADEMA) mipango na Katiba havifuatwi
Si wote kidumu chama sasa🤣Msigwa ni mchungaji
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni Mchungaji Peter Msigwa amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji (mstf) Francis Mutungi kuhakikisha anafuatilia kwa karibu vyama vya siasa vya upinzani nchini ili kujuwa namna vinavyoendesha mambo yao
Mchungaji Msigwa ametoa ushauri huo hivi karibuni akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam ambapo ameeleza vyama hivyo alivyodai kuwa vinalenga kuleta vurugu nchini vimekuwa vikiendesha mambo yao kinyume na Katiba za vyama vyao zinavyotaka jambo ambalo amedai kuwa linapaswa kudhibitiwa
Akitolea mfano chama chake cha zamani (CHADEMA) Mchungaji Msigwa amesema kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kuwa Tume ya Taifa Uchaguzi (Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi) haiko huru, sambamba na kukosoa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini uhalisia uliopo ni kwamba viongozi wa chama hicho hawafuati hata Katiba ya chama chao jambo ambalo linapelekea wakose uhalali wa kukosoa Katiba ya nchi
Amesema Katiba ya CHADEMA imeelekeza kuwa uchaguzi wa ngazi ya chini utasimamiwa na ngazi ya juu (yaani uchaguzi wa ngazi ya msingi utasimamiwa na tawi, uchaguzi wa ngazi ya tawi utasimamiwa na kata, uchaguzi wa kata utasimamiwa na jimbo, itaenda hivyo hadi kufikia ngazi ya Taifa) lakini viongozi wa chama hicho wakaamua kukengeuka Katiba ya chama chao na sasa chaguzi zinazofanyika ndani ya chama hicho zinafanyika kwa njia ya 'oparesheni' kwa kuwatumia maafisa walioteuliwa na makao makuu ya chama wanaoitwa ZOC (Zonal Oparation Commander) ambao kimsingi hawajatwa popote kwenye Katiba ya chama hicho
Amesema amelazimika kuondoka kwenye chama hicho kwa kuwa hakuwa tayari kushuhudia akiendelea kutumika, kwani kwa muda mrefu amekuwa akikosoa sera na mipango ya CCM na serikali wakati ndani ya chama chao (CHADEMA) mipango na Katiba havifuatwi
"Katiba ya Chama cha Demokrasia (CHADEMA -Chama cha Demokrasia na Maendeleo) haifuatwi, nasema kwa ujasiri mkubwa kwa sababu nimekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama kwa takribani miaka 10 najuwa kinachofanyika" -Mchungaji Peter Msigwa.
Jambo TV
===
Nilimsikia Mbowe na kile kijalida chao cha Twitter wakidai kwamba mambo ya Gen Z yatakuja Tanzania sio muda ati Watanzania wavae sura ya Ujasiri.
Mbowe na genge lake wanatakiwa waelewe kwamba Watanzania sio punguani kwamba wataanza kuuana kisa kumpigania yeye Mbowe na wahuni wenzake eti waingie Madarakani.
Mbowe aelewe tuu kwamba Watanzania sio wapumbavu na kamwe hawawezi kuingia kwenye upunguani kisa kumfurahisha yeye.
Ni hivi Watanzania Wana utamaduni wa kuamtatua Changamoto zao pasi kuuana kama ambavyo genge la Chadema wanashadidia.
Kwa kuthibitisha Hilo walioanzisha kile waliita maandamano baada ya Wananchi kuwapuuza wakaishia mitini na sijui waliambulia nini.
Yaani walidhani eti Samia ataingia Polisi Barabarani kuwapa chati ila hakufanya hivyo matokeo yake wako wapi ? 😂😂😂😂😂
My Take
Hongera Msigwa kwa tahadhari hii uliyoitoa Kwa Serikali, naamini wahusika watawadhibiti mapema.
Mi binafsi nachoamini tawala na pinzani wote hamna kituIla wanasiasa bwana, kwa hiyo kahamia kwa wale aliokuwa anawakosoa
Asante sana Upendo Peneza kwa kuwaumbua wara Rushwa na watumia Rushwa ambao wanatafuta madaraka Kwa gharama za Watanzania 👇👇
View: https://youtu.be/fi0tEcjNqKU?si=-8auRkO-djYBxh-p
Mi binafsi nachoamini tawala na pinzani wote hamna kitu
Ni kidumu chama ili asalameko ni muhimu zaidi😁Nilidhani ni kidumu chama