Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

Tukirudisha nyuma siku angalau miezi miwili hivi usingeandika haya yote. Ulikuwa wapi Mkuu mbona unafiki utatuua Watanzania?
Alianza kuitwa mshamba akiwa hai, na alilijua hilo.
 
Alianza kuitwa mshamba akiwa hai, na alilijua hilo.
Kha..
Tunaongelea leo waliopo walifanya nini na wanapaswa kufanya nini . Siyo utamaduni wa Kiafrika kumjadili kwa majungu Mwendazake.

Pumzika kwa amani Hayati Rais ,Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Tutakukumbuka kwa mema yote uliyoyafanya.
 
Tukirudisha nyuma siku angalau miezi miwili hivi usingeandika haya yote. Ulikuwa wapi Mkuu mbona unafiki utatuua Watanzania?

Suguma Gang na Task Force wasingemuacha maana walikuwa wanaona TZ ni yao milele ndio maana walikuwa wanapiga mapambio ya atake asitake.
 
Kwahiyo unadhani wazungu wanakupenda kweli wewe mwafrika

Mimi miafrika kama nyie ndo puppet mnaotukwamisha maendelep
 
Teknolojia zote za ulinzi sijui uchumi zinatoka kwao then unaaanza kuwakandia unategemea nini
 
siku nyingine andika paragraph isiyomaliza muda mwingi kusoma, ona sasa nimeishia katikati nimesinzia
 
Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo na kituko kama wa hamu ya tano moja ya jambo ambalo nitalikumbuka kwa hayati ni ukosefu wa heshima.
 
Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo na kituko kama wa hamu ya tano moja ya jambo ambalo nitalikumbuka kwa hayati ni ukosefu wa heshima.

ulikosa heshima kwa ujinga wako mkuu.

hiyo ndio awamu pekee ambayo ujinga ujinga na dharau vilisahaulika kabisa.

mtu unakunywa pombe mpaka unajinyea nani akuheshimu!!!!!
 
ulikosa heshima kwa ujinga wako mkuu.

hiyo ndio awamu pekee ambayo ujinga ujinga na dharau vilisahaulika kabisa.

mtu unakunywa pombe mpaka unajinyea nani akuheshimu!!!!!
Sijakuelewa umesema ukinywaga pombe huwa unajinyeaga hadharani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…