Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Hahaha hahahaha unaweza kusema tena hili kwa kujiamini?Acha uongo wako! Msigwa faini yake ililipwa na Watanzania wenye mapenzi makubwa na Chadema. Pesa ya dhalimu Jiwe na gari toka maccm alikataa.