Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

Karibu Mama Samia...kesi za kijinga zitapungua
Vipi zimepungua eehhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mama anaupiga mwingi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila taifa Lina mahitaji ya uongozi kutokana na jinsi lenyewe lilivo kwa wakati uliopo, ndio jpm alikuwa shujaa kutokana na hali ya taifa letu ilivokua wakati huo.
 
Msigwa hakuiomba Ile faini watz walikuwa wanachanga hela

Mwendazake akaibuka from nowhere akilipia [emoji1]

Msigwa alimshukuru na nakumbuka alisema pamoja na kuchangiwa hawezi unga mkono juhudi[emoji1][emoji1][emoji1787]
Kijana jiongeze ndugu yako akiwa kwenye madhila sio lazima akuite umsaidie, ni wewe nduguye uone jinsi gani ya kusaidia mara nyingi bila kukuita au kuombwa.
 
Hili jambo lilipaswa kumpa kila mmoja jinamizi akiwa usingizini.
Na siku shujaa mwingine aliyepitwa na wakati akishika dola hatoki nchi hii itakuwa ya kifalme, tuchukue tahadhari zote ikiwemo kudai katiba mpya
 
Msigwa hakuiomba Ile faini watz walikuwa wanachanga hela

Mwendazake akaibuka from nowhere akilipia [emoji1]

Msigwa alimshukuru na nakumbuka alisema pamoja na kuchangiwa hawezi unga mkono juhudi[emoji1][emoji1][emoji1787]
Kwanza aliikataa
 
Acha uongo wako! Msigwa faini yake ililipwa na Watanzania wenye mapenzi makubwa na Chadema. Pesa ya dhalimu Jiwe na gari toka maccm alikataa.
BAK miss you.
 
Mifumo ya kufungiana lock down na mabarakoa ni naenda za msigwa na CHADEMA. Hii mifumo ya kiditeta ya kichief ni kizamani sana. Tunamshukuru means democracy shujaa JPM
Alionyesha democrasia na haki za binadamu kipindi cha Corona
 
Uchaguzi upi?
Bwawa la Nyerere viongozi wote walishindwa kujenga yeye ameweza kwa pesa za ndani uchaguzi ulifanyika kwa mara ya kwanza kwa pesa za ndani kajenga miundo mbinu nyingi daraja ka busisi kigongo usafiri w ndege vituo vya afya na mambo mwngi na jema zaidi kawakomoa wapinzani kuingia bungeni hilo ndilo msingwa linakuuma maana huna pesa sasa hivi umechakarika ile mbaya nenda kawe nabii wa kuponyesha watu uwadanganye kama wenzio wanapiga pesa
 
Msigwa akiuona huu uzi anatamani kupasuka,
Anaweza kusema alidanganywa na Mbowe.
 
Back
Top Bottom