Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

Mpaka sasa naamini ule urais aliununua na uwezo wa kuununua alikuwa nao.
 
Ndiyo Chama kilichoibua maovu mengi ya Serikali ya maCCM. Halafu jiulize aliyesababisha kiwe hapa kilipo ni nani na sasa hivi yuko wapi?

Mbweha jike usiye na uzazi wewe!

Unaibua maovu huku unahonga vitu maalumu kwa hawala zako mukeya.
 
Mungu mkubwa, kweli Msigwa wewe umesahau ulivyolipiwa faini na JPM na leo hii unaanza kumdhihaki inshaallah Mungu atatenda.
Ina maana wewe ndio unafahamu leo kuwa mungu ni mkubwa
 
Nkikata tamaa kwa kweli..ila naona mung ameniletea mwangaza kwa muda uliobakia
 
Kudos 😜
 
Ndugu yangu misasa unateseka ukiwa pande zipi? 🤣🤣🤣

Naona ukiona habari ya kusema mabaya ya jiwe unadislike tu 😠
Atakufa na presha kama kamanda wao wa udongo 😃😃😃 lijamaa lilikuwa na magonjwa yanampa stress ndio maana alikuwa mkali tu masaa yote
 
Mungu mkubwa, kweli Msigwa wewe umesahau ulivyolipiwa faini na JPM na leo hii unaanza kumdhihaki inshaallah Mungu atatenda.
We wawapi?
Msigwa alikataa kulipiwa faini na akina Magu. Walichanga wanannchi(maana siyo cdm pekee)
Msigwa akatoka, na alipotoka alilisemea hilo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Endelea kudanganya

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mtanuna sana mwaka huu. Mataga mmechanganyikiwa. Yaani wapinzani tunavyo muunga mkono mama roho zenu za korosho zimekunjamana. Mnahisi kama Samia anasasaliti. Mtakoma mwaka huu.
Aacha yanune salama, hayo majamaa hayataki kuona nchi inakaa sawa yananufaika kupitia njia haramu sasa akitokea mmoja wao akasema vya haramu sitaki lazima yanune, mara ooh! ccm itakufa.
 
Mnafiki na changudoa mkubwa wa kimaadili. Kwanini hukumshauri awe na usasa kama wee ni mwanaume kweli. Amekufa mnaanza kumsingizia kila upuuzi. Shame on you Msigwa unayejipendekeza kwa SSH akuteue mbunge wa ikulu siyo.
 
mmmmh
 
Bwawa la nyerere amejenga!?bwawa halijafika hata robo useme amejenga!?unavyosema ni kama tumeshaanza kupata umeme🤭,SGR nayo hata robo bado,miradi mingine hata haikuwa na umuhimu kujenga masoko yanayokost bilions ni sawa na kuzika pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…