Pre GE2025 Peter Msigwa: Kuna tofauti kubwa kati ya kulinda chama na kumlinda mtu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani.

Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu.

Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia virago.

--
β€œKuna tofouti kubwa kati ya kukilinda chama na kumlinda mtu, Kukipinga chama na kumpinga mtu Chama kina misingi na malengo ya kuanzishwa . Mtu yeyote anayejaribu kwenda kinyume na misingi na malengo ya chama atapingwa kwa nguvu zote tena hadharani.” Kuanzia msingi Mpaka Taifa”

Chadema 2025
Lissu msigwa wanaweza kufukuzwa au kuwekewa zengwe tu

Je watafungua chama kipya JIBU ni hapana.....sababu ya process za ufunguzi wa chama nchini kuwa ndefu hivyo hasa kipindi hiki na uchaguzi ni mwakani so muda wa kufungua chama hautotosha

Lissu na msigwa kabla ya kuwa chadema walikuwa NCCR mageuzi sasa kama mambo yata enda ndivyo sivyo na mh mbowe watarudi NCCR mageuzi tu
 
Msingwa; huwezi kushindana na CDM cha msingi tunakushauri achana na hii kitu, upumzike kwa sasa.

Mawe gizani hayatakisaidia kitu, kira hazikutosha ndugu.
 
Kuliko kuwa kenge kwenye msafara wa mamba ,so Bora ungeanzisha chama chako na utaungwa mkono na wenye moyo was kukuunga mkono!!?

Mbona zito anapeta tu kule na anamoango wa kuwa Rais 2030!
 
Kabla ya kujiunga na CHADEMA, Msigwa alikua TLP, mwaka 2000 aligombea ubunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya TLP.
 
Unaweza kupiga ngoma Lumumba yote ikacheza kweli kweli wakazuungusha kama feni huku nyuma mnafukuza Mwizi Kimyakimya...
 
Kuliko kuwa kenge kwenye msafara wa mamba ,so Bora ungeanzisha chama chako na utaungwa mkono na wenye moyo was kukuunga mkono!!?

Mbona zito anapeta tu kule na anamoango wa kuwa Rais 2030!
Kwani chadema ni chama cha nani?
 
Msigwa alikuwa TLP
 
Msingwa; huwezi kushindana na CDM cha msingi tunakushauri achana na hii kitu, upumzike kwa sasa.

Mawe gizani hayatakisaidia kitu, kira hazikutosha ndugu.
Mbowe ndiye Chadema?!!🐼
 
M
Mtu ana mgogoro na mbowe wao wanasema hauwezi shindana na chadema means mbowe ndio Chadema πŸ˜‚πŸ˜‚
Mgogoro upi alionao na Mbowe em lete ushahidi,kushindwa uchaguzi imekua nongwa!?,km anapinga taratibu kutofuatwa si amekata rufaa shida nn!?,au ndo kutafuta kiki ya kuondokea
 
Nilimheshimu nakumpenda kama philosopher, kumbe takataka mavi.
 
Msingwa; huwezi kushindana na CDM cha msingi tunakushauri achana na hii kitu, upumzike kwa sasa.

Mawe gizani hayatakisaidia kitu, kira hazikutosha ndugu.
Msigwa asikilizwe. Kwann Mbowe awe sultani chamani? Misingi ya kidemokrasia inasemaje?
 
Erythrocyte huyu vipi? mbona anatia kinyaaa? Ataivuruga chadema. Nimeandika humu kuwa muda huu si wa kupambana wenyewe kwa wenyewe. Haya mambo yawe internal politics na si kadamnasi. Mdhibitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…