DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Erythrocyte huyu vipi? mbona anatia kinyaaa? Ataivuruga chadema. Nimeandika humu kuwa muda huu si wa kupambana wenyewe kwa wenyewe. Haya mambo yawe internal politics na si kadamnasi. Mdhibitini
Hana uwezo wa kuvuruga ChademaErythrocyte huyu vipi? mbona anatia kinyaaa? Ataivuruga chadema. Nimeandika humu kuwa muda huu si wa kupambana wenyewe kwa wenyewe. Haya mambo yawe internal politics na si kadamnasi. Mdhibitini
Uzuri ni kwamba Mbowe hajibishani na WajingaMbowe analinda chama cha baba mkwe, hicho chama ni Mali ya familia. Mbowe hawezi kukubali chama kitoke nje ya misingi ya kifamilia.
Kiongozi mzuri hajibizani na wehu! Utawajibu wangapi?Uzuri ni kwamba Mbowe hajibishani na Wajinga
Kwa sababu kamgusa Mangi Sina πNilimheshimu nakumpenda kama philosopher, kumbe takataka mavi.
Sugu kakubwaga unakimbilia kumlaumu Mbowe,uliposhinda hapakuwa na lawama.Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani.
Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu.
Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia virago.
--
βKuna tofouti kubwa kati ya kukilinda chama na kumlinda mtu, Kukipinga chama na kumpinga mtu Chama kina misingi na malengo ya kuanzishwa . Mtu yeyote anayejaribu kwenda kinyume na misingi na malengo ya chama atapingwa kwa nguvu zote tena hadharani.β Kuanzia msingi Mpaka Taifaβ
Mbowe siyo Kiongozi ni kiranjaKiongozi mzuri hajibizani na wehu! Utawajibu wangapi?
Mbowe ndio kabeba Fungu la Nusu Mkate πΌSugu kakubwaga unakimbilia kumlaumu Mbowe,uliposhinda hapakuwa na lawama.
Kiranja ni kiongozi.Mbowe siyo Kiongozi ni kiranja
Kiongozi hubeba maonoKiranja ni kiongozi.
1. Samia anabeba maono gani?Kiongozi hubeba maono
Kiranja hubeba maagizo
Mbowe ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema aliyepata kura chache
Oooh .. Kumbe wanatumia Mode ya Kenya...ODM-Odinga+ Luos , Jubilee - Kenyatta+ Kikuyus, Wiper - Kalonzo+Kambas and UDA -Ruto+ KalenjinsCDM ni chama cha Mbowe ukienda kinyume nae utaondoshwa tu na utaitwa msaliti.
Mbowe hamuwezi Samia katika angle zote1. Samia anabeba maono gani?
2. Kura chache ni relative, at what time and the like!
3. Unadhani kwenye fair election samia atamzidi Mbowe?
Kumbe wewe ni demu!! Unazaa!Nikizaa kitoo kifupi nakiua kumbe ni mkosi
Wewe ulikuwa unajua ni Dume?πKumbe wewe ni demu!! Unazaa!
Msigwa ameongea vizuri. Lakini angeweza kuboresha vizuri kauli yake:Kuliko kuwa kenge kwenye msafara wa mamba ,so Bora ungeanzisha chama chako na utaungwa mkono na wenye moyo was kukuunga mkono!!?
Mbona zito anapeta tu kule na anamoango wa kuwa Rais 2030!