Pre GE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza ni watumwa wa kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,409
Reaction score
13,262
Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu

CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background wanawatanguliza Msigwa na Peneza ili kuishambulia CHADEMA huku wao wakiwacheka hasa wanapokosea. Hii ni sawa na mtu anataka kumtukana au kumkashifu mzazi wako badala yeye aseme anakutumia wewe kumnanga na kumbaragaza mzazi wako aliyekutoa jalalani

1724253900211.png

Upendo Peneza
1724254010785.png

Mchungaji Msigwa

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

- Kuelekea 2025 - Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA
 
Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu

CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background wanawatanguliza Msigwa na Peneza ili kuishambulia CHADEMA huku wao wakiwacheka hasa wanapokosea. Hii ni sawa na mtu anataka kumtukana au kumkashifu mzazi wako badala yeye aseme anakutumia wewe kumnanga na kumbaragaza mzazi wako aliyekutoa jalalani
warumwa ndio nini?
 
Basi kama ni hivyo chadema wote kuanzia lisu ni watumwa maana mmetangulizwa mbele kumtuka Rais huku mwenyekiti wenu mbowe akilamba asali kwa kuipa jina zuri maridhiano
 
Niliona siku ile wanaccm wanamzomea Peneza alipokosea na kusema "moyo wangu upo chadema".

Kama kuna wakoloni mamboleo, basi pia kuna watumwa mamboleo.
 
Basi kama ni hivyo chadema wote kuanzia lisu ni watumwa maana mmetangulizwa mbele kumtuka Rais huku mwenyekiti wenu mbowe akilamba asali kwa kuipa jina zuri maridhiano
Umeteuliwa??maana so Kwa pumba hizi
 
Back
Top Bottom