Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuwa na vimelea vya ushoga sijui nani anamkuna huko CCM.Msigwa tangu aende huko ni vijembe... Haji na facts
Msigwa ame patwa na tatizo la afya ya akili, sio bure.Anazidi kuitangaza chadema ina maana na Yeye huyu Msigwa kawa Mwehu kiasi hiki? Hojq za kitaifa kaziacha alikotoka kule kaenda kuwa rofa tu. Usaliti ni mbaya sana.
Inawezekana !👏👍 lakini bado hizi zitakuwa ni tetesi tu !Hahaha Mbowe ni threat kwa CCM?
Labda kama uko nje ya Tanzania na hufuatulii siasa za nchi hii...
Kwa yeyote mwenye logical thinking lazima ajue Mbowe yupo kwa maslahi ya CCM...
Threat ya CCM kwa sasa ni Lissu...
Mbowe, Zitto, Lipumba, na wenzao ni CCM...
Msigwa tangu aende huko ni vijembe... Haji na facts
Yaani kwakua umepigwa chini ndiyo unabwabwaja. Mwenzako Slaa kashachambiwa kabwagwa wewe ndiyo utaishia hivyo hivyo visent vya safari. Una ipact yoyote kwenye siasa za Tanzania.Chadema sio taasisi ni mali Mbowe, Mbowe amewahi kusema chadema ni Mbowe na Mbowe ni CHADEMA, Nikiamua kusema yote ninayoyajua hamtaamini, wengi wenu hamna taarifa kama mimi kwanini mnashindwa kufikri hata kidogo mnadhani mimi kichaa kujiondoa ndani ya Chadema!,mwambie mbowe aache kuwatapeli watanzania kwa maneno ya uongo,Chadema ni biashara ya mbowe wala hakuna nia ya mabadiliko utapeli tu.
Chadema ipo taabani na imepasuka,ninaposema Chadema imepasuka vipande viwili namaanisha kweli tupu,ukiuliza kwa nini Kamati kuu na halmashauri kuu wanaendelea kukaa vikao licha ya mpasuko,ukweli ni kwamba,vikao vya chama vinafanyika kwa sababu ya vigezo vya kuviziana kwenye kipengele cha kutohudhuria vikao vitatu unafukuzwa,hakuna unit wala organization na huu ndio ukweli mchungu,Ukiniuliza kwa nini niligombea Kanda ya Nyasa kuwa Mwenyekiti wake,dhima ilikuwa ni kuleta mabadiliko kutokea ndani ya chama,nikiwa ndani ya kamati kuu na halmashauri kuu ila wahuni walinizidi akili wakaiba,wengi wanasema nimepigwa za uso na Sugu hilo si kweli,wengi wanasema nilikuwa natumika na Chadema na sasa CCM inamitimia,niseme tu kama nilitumika na Chadema na chama kikastawi sasa mnaona shida gani nikitumika na CCM !? hivi kipi bora kutumika na taasisi imara ya CCM au kutumika na Chadema ambayo ni biashara ya familia ya Mbowe,nimestuka stukeni.
Mbowe kila uchaguzi anagombea Uenyekiti,matakwa ya Mbowe ni kutaka nafasi zote mbili kwa wakati mmoja ni jaribio lingine la kutaka kuifanya Chadema kuwa familia yake ila ukweli ni kwamba katiba ya Chadema haijawahi kuwa na utaratibu wa aina hiyo, labda Mbowe mwenyewe atoe ufafanuzi ni vipi itawezekana yeye kugombea Uenyekiti kila uchaguzi na kushindwa,kwenye maelezo hayo yote, kwa asiyeijua siasa, hawezi kuelewa dhima ya ujumbe huu,lakini kwa wale wanaoijua siasa,mtego upo hapa tujiulize na tujitafakarishe na *kwa nini Mbowe amekuwa akigombea miaka yote hii? tumuulize Mheshimiwa Mbowe mwenyewe.*hii maana yake ni nini? kumbe yale maneno ya baadhi ya watu kwamba wana-Chadema ndio wanamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti ni ya uongo,wana Chadema hawajui hilo, mimi naamini Mbowe mwenyewe ndio anajua ni kwa nini kila uchaguzi anagombea Uenyekiti.