Peter Msigwa; Nikiamua kusema yote ninayoyajua mtahama CHADEMA

Mzee huyu kwani ana Nini? Ashaondoka Kule na talaka tatu kashapewa. Anyamaze azidi kuijenga ccm mpya.
 
Haki ya Mungu huyu kichefuchefu wanaccm wanamchora tu. Sijui kama ataambulia uongozi maana hagandishi huyu. Na ni muongo pia
 
Inawezekana !👏👍 lakini bado hizi zitakuwa ni tetesi tu !
 
Yaani kwakua umepigwa chini ndiyo unabwabwaja. Mwenzako Slaa kashachambiwa kabwagwa wewe ndiyo utaishia hivyo hivyo visent vya safari. Una ipact yoyote kwenye siasa za Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…