Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wewe ndiye kaa kimya na kumuacha Mtumishi wa MUNGU auseme ukweli wote ili watanzania wapate kuelewa utapeli na udalali wa CHADEMAMsigwa angetulia tu,kuliko kupiga makelele,Raia wanamuona mjinga,yeye anaona sifa
Hana la kumfanya Mbowe zaidi ya kupiga kelele huku na huko
Ushauri wa bure kwa Msigwa. Weka Akiba ya maneno. Umeshaondoka CHADEMA angalia mbele. Sahau kwamba ulikuwa CHADEMA. Tumia jukwaa la siasa kueleza sera na mema za CCM. Kwa kufanya hivyo utajijengea heshima. Ukiendelea kama unavyofanya sasa hata viongozi wa CCM watakustukia kuwa kuna siku Unaweza kuwageuka!Msigwa angetulia tu,kuliko kupiga makelele,Raia wanamuona mjinga,yeye anaona sifa
Hana la kumfanya Mbowe zaidi ya kupiga kelele huku na huko
unaumiaee dah 🤣Msigwa angetulia tu,kuliko kupiga makelele,Raia wanamuona mjinga,yeye anaona sifa
Hana la kumfanya Mbowe zaidi ya kupiga kelele huku na huko
Wewe ndiye kaa kimya na kumuacha Mtumishi wa MUNGU auseme ukweli wote ili watanzania wapate kuelewa utapeli na udalali wa CHADEMA
huyu mwanasiasa muungwana anawahenyesha haswa watesi wake dah 🤣Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini.
Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe.
View attachment 3089039
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
Mtumishi wa Mungu anaongea ukweli mchungu kwa CHADEMA wasiopenda kusikia Ukweli. Acha aendelee kuwaripua mpaka akili ziwakae sawa na kutambua kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo tuUshauri wa bure kwa Msigwa. Weka Akiba ya maneno. Umeshaondoka CHADEMA angalia mbele. Sahau kwamba ulikuwa CHADEMA. Tumia jukwaa la siasa kueleza sera na mema za CCM. Kwa kufanya hivyo utajijengea heshima. Ukiendelea kama unavyofanya sasa hata viongozi wa CCM watakustukia kuwa kuna siku Unaweza kuwageuka!
Siyo kila Mchungaji ni Mchungaji wa Mungu,Wengine wachangiaji wa shetaniNdugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini.
Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe.
View attachment 3089039
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
Mambo gani hayo.Ukweli wake ni akiwa ccm Tu
Wakati Yuko chadema anaongea mambo ya ccm alikuwa anaongea uzushi
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini.
Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe.
View attachment 3089039
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
STupidNdugu zangu Watanzania,

Acha kutaja jina la MUNGU kwenye upumbavu mtakufa vibaya kutaja jina lake na kwenye ujinga wenuMtumishi wa Mungu anaongea ukweli mchungu kwa CHADEMA wasiopenda kusikia Ukweli. Acha aendelee kuwaripua mpaka akili ziwakae sawa na kutambua kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo tu