Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
I'm trying to imagine; mfano tu labda mama aamue kuachilia irais mwakani or aamue kuendelea na urais lakini baada ya kurudi aamue kuachana na Msigwa, yaani Msigwa abakie tu kama mwana Chama wa kawaida, huyu "mtumishi" wa mungu ataendelea kua mwana Chama huko CCM au ataamua kurudi alikotoka? Huaga ni ngumu sana kuishi na kusema mambo usioyaamini.