Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. Msigwa huyo siyo mtumishi kwani alipotoka SA alipewa nguo za mitumba nyingi aje awagawie bure watu wasiojiweza lakini yeye akaziuza zote,huyo ni fisadi.
Acha ujinga wako wewe .liongo likubwa wewe. Kwa hiyo Hapa ndio umesikia ndio wabaya mitumba kama akili yako ilivyo fubaa kama mitumba.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini.

Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe.
View attachment 3089039

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

Amesahau ya Msiba na Membe. Kujitoa ufahamu kwa anili ya kujikomba kwa wakubwa zako kuna gharama zake.
Msigwa sasa asubiri kuyasema mahakamani ili akiweza kikombe kinuepuke au akinywee na huo ndiyo ukweli mengine ni kujishaua kama wanawake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini.

Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe.
View attachment 3089039

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
Ataenda kusemea mahakamani siyo mitandaoni.
 
😂😂😂Siku izi kuna Watu wanajiona miungu ..Hasa wakisha kujipendekeza na kukaa kwenye nguo chafu za wakubwa wakawa CHAWA .
Lukas Mwashambwa naye kawa mungu mtu.

Ana uhakika wa chama chake na mamalia wake watakaa madarakani milele na milele . Kwao hakuna Mungu akipenda 🤣🤣🤣🤣.
Wataingia tu porini na kupata ushindi. Nadhani huko porini kuna kura nyingi za wanyama wanazipata🤣🤣🤣😂.
Yes, ndio maana wanafukuzwa Wamasai ili wabaki wanyama ambao ndio wapigakura wao huko porini kama alivyoweka wazi DC wa Longido.
Hao Wanaamua nani aishi na nani afe.
Akina Lucas kwenye Bendera wanawakilishwa na Jembe na kule Pwani akina Haji Manara ndio Nyundo ya kugombea mpini kwenye jembe 😂😂
 
Nimesema matusi tukana lakini ulete majibu hapa.si ulijifanya unayafahamu matokeo yake? Uliyapatia wapi hayo matokeo? Ulikuwa unafuatilia matokeo ya watu ili upate nini ewe mshamba usiyejitambua?😀😀😀
Wewe nishakujua ni shoga naamua kukupuuza sina muda na mashoga.
 
Back
Top Bottom