Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini.

Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe.
View attachment 3089039

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
Mwenyekiti wa CHADEMA anaitwa nani kwa jina lake na MBOWE ni nani kwenye chama chake? Siasa ina mambo mengi sana
 
Wewe ndiye kaa kimya na kumuacha Mtumishi wa MUNGU auseme ukweli wote ili watanzania wapate kuelewa utapeli na udalali wa CHADEMA
DC wa longido mbona mlimfukuza baada ya kusema ukweli kuwa CCM NI MAJIZI YALIYOKUBUHU...mkaona anakivua chupi chama.
 
Kwa hiyo mwenyekiti sio Mbowe? Msenge sana huyu sijui pasto wa wapi. Ukishakuwa CCM tu akili unakabidhi Lumumba
 
Msigwa angetulia tu,kuliko kupiga makelele,Raia wanamuona mjinga,yeye anaona sifa

Hana la kumfanya Mbowe zaidi ya kupiga kelele huku na huko
Ninyi wote hamjamuelewa Msigwa, hapo ni kama vile anasema aliyeondika CHADEMA ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, lakini Mchungaji Peter Msigwa nado yupo CHADEMA na hana mpango wa kuondoka CHADEMA😅
 
Msigwa sikuelewi, mwenyekiti wa sasa ni nani? Mfano niseme "hongera raisi wetu" sio lazima niseme mama, inajulikana.
Maana yake anataka chadema kama chama ndio wamshitaki… au kifutwe Kwa kutoka jua fedha zake zinaenda wapi ili hali CAG anawapaga hati safi… Huyu msigwa aache akili za kitoto…kuchafua watu bila sababu…mawasiliano wa cdm wakimpeleka mahakamani atasemaje Tena?
 
Msigwa angetulia tu,kuliko kupiga makelele,Raia wanamuona mjinga,yeye anaona sifa

Hana la kumfanya Mbowe zaidi ya kupiga kelele huku na huko
Hivi huyu ni mchungaji kwel au ndio wale wachungaji wa mchongo?

Mchungaji wa ukwel hawezi kuleta taarabu za kijinga mitandaoni
 
Hivi huyu ni mchungaji kwel au ndio wale wachungaji wa mchongo?

Mchungaji wa ukwel hawezi kuleta taarabu za kijinga mitandaoni
Kazi ya utumishi wa Mungu ni kuongea ukweli.mtumishi wa Mungu Msigwa anaendelea kuongea ukweli na kuwafumbua macho wale wafuasi wa CHADEMA wasiojitambua
 
Back
Top Bottom