Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sitaki uruke ruke na kutukana matusi kama mlevi wa gongo.

nataka unijibu hayo matokeo ya Mbowe unayosema unayafahamu yapoje?jibu hili swali ndio tuendelee na mjadala. Matusi tukana lakini nataka unijibu swali hili.
Wewe chawa nasema hivi sina muda wa kujadili matokeo ya mtu na sina kawaida ya kujadili watu, wewe uliyekosa kazi unayeishi kwa umbea kusema mambo ya watu endelea.GREAT MINDS DISCUSS IDEAS,AVERAGE MINDS DISCUSS EVENTS,SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE.
 
Hapa hatujadili wafu hapa.nataka unijibu haraka sana bila kupinda pinda kuwa matokeo ya Mbowe kidato cha sita yapoje? Si umesema unayafahamu? Kigugumizi cha nini?
 
Kumbe huna akili.Usichoelewa nini kuwa mimi sijadili habari binafsi za watu, huu umbea washirikishe wajinga wenzako mnaoishi kwa uchawa na umbea, mwanaume kuwa mbea ndiyo mwanzo wa ushoga au tayari wewe ni upinde?
 
Jibu swali ,matokeo ya mbowe kidato cha sita yapoje??? Unayafahamu? Unafahamu Elimu yake?
 
Hapa hatujadili wafu hapa.nataka unijibu haraka sana bila kupinda pinda kuwa matokeo ya Mbowe kidato cha sita yapoje? Si umesema unayafahamu? Kigugumizi cha nini?
Wewe unayajua matokeo ya Viongozi wako wa Juu Wote? 😂😂😂😂

Lucas kuna Mijadala huwa unaanzisha Kwa Sababu Maalumu ndani ya CCM Kwa faida ya IPU 2025 Magogoni

Sisi Wakongwe tunakuchora tu 😂
 
Wewe ndiye kaa kimya na kumuacha Mtumishi wa MUNGU auseme ukweli wote ili watanzania wapate kuelewa utapeli na udalali wa CHADEMA
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. Msigwa huyo siyo mtumishi kwani alipotoka SA alipewa nguo za mitumba nyingi aje awagawie bure watu wasiojiweza lakini yeye akaziuza zote,huyo ni fisadi.
 
Huyo labda aishie kukuroga tu 😂

😂😂😂Siku izi kuna Watu wanajiona miungu ..Hasa wakisha kujipendekeza na kukaa kwenye nguo chafu za wakubwa wakawa CHAWA .
Lukas Mwashambwa naye kawa mungu mtu.

Ana uhakika wa chama chake na mamalia wake watakaa madarakani milele na milele . Kwao hakuna Mungu akipenda 🤣🤣🤣🤣.
Wataingia tu porini na kupata ushindi. Nadhani huko porini kuna kura nyingi za wanyama wanazipata🤣🤣🤣😂.
Yes, ndio maana wanafukuzwa Wamasai ili wabaki wanyama ambao ndio wapigakura wao huko porini kama alivyoweka wazi DC wa Longido.
Hao Wanaamua nani aishi na nani afe.
 
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. Msigwa huyo siyo mtumishi kwani alipotoka SA alipewa nguo za mitumba nyingi aje awagawie bure watu wasiojiweza lakini yeye akaziuza zote,huyo ni fisadi.
Ndiyo maana kajiunga na majangili wenzake
 
😂😂😂Siku izi kuna Watu wanajiona miungu ..Hasa wakisha kujipendekeza na kukaa kwenye nguo chafu za wakubwa wakawa CHAWA .
Lukas Mwashambwa naye kawa mungu mtu.

Ana uhakika wa chama chake na mamalia wake watakaa madarakani milele na milele . Kwao hakuna Mungu akipenda 🤣🤣🤣🤣.
Wataingia tu porini na kupata ushindi. Nadhani huko porini kuna kura nyingi za wanyama wanazipata🤣🤣🤣😂.
Yes, ndio maana wanafukuzwa Wamasai ili wabaki wanyama ambao ndio wapigakura wao huko porini kama alivyoweka wazi DC wa Longido.
Hao Wanaamua nani aishi na nani afe.
Huyu ni shetani ana laana ya ukoo wake
 
Wewe ndiye kaa kimya na kumuacha Mtumishi wa MUNGU auseme ukweli wote ili watanzania wapate kuelewa utapeli na udalali wa CHADEMA
Tapeli wa kweli ameshatajwa na Nape,Dc Longido na yule poti, Msigwa njaa ya madaraka tu!
 
Ushoga wako huko huko. Kwani unataka kuolewa na huyo Mbowe hadi unaulizia hivyo taarifa zake? Hivi wewe ni mwanaume kweli ?
Nimesema matusi tukana lakini ulete majibu hapa.si ulijifanya unayafahamu matokeo yake? Uliyapatia wapi hayo matokeo? Ulikuwa unafuatilia matokeo ya watu ili upate nini ewe mshamba usiyejitambua?😀😀😀
 
Back
Top Bottom