Huyu tumbili hana shukrani kabisa,hapo kilikuwa kinaonekana kibabu kweli kweli leo kimejua kuvaa suti kinaleta matusi. Ama kweli fadhila mfadhili mbuzi kuna siku utakula ndafu lakini binadamu kuna siku atakuudhiMsigwa kumbuka Chadema ilikokutoa,muogope Mungu
AMESHAKUWA REJECTED NA WADAUNamshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no takataka tu.
Namwona ni mjinga aliyeamua kujidhalilisha kwa kutumia mdomo wake kutangaza na kukidhalilisha chama kilichomzaa kisiasa.
Hata ile kujikuta segerea na kulipiwa faini asisahau kulisema.Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no takataka tu.
Namwona ni mjinga aliyeamua kujidhalilisha kwa kutumia mdomo wake kutangaza na kukidhalilisha chama kilichomzaa kisiasa.