Peter Msigwa uwe unasema na yale ulotendewa na CCM

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,409
Reaction score
13,262
Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no takataka tu.

Namwona ni mjinga aliyeamua kujidhalilisha kwa kutumia mdomo wake kutangaza na kukidhalilisha chama kilichomzaa kisiasa.
 
Msigwa kumbuka Chadema ilikokutoa,muogope Mungu
 
Attachments

  • FB_IMG_1721892194992~2.jpg
    FB_IMG_1721892194992~2.jpg
    425.4 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1719903155204.jpg
    FB_IMG_1719903155204.jpg
    51.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240702-230508_X.jpg
    Screenshot_20240702-230508_X.jpg
    49.8 KB · Views: 3
Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no takataka tu.

Namwona ni mjinga aliyeamua kujidhalilisha kwa kutumia mdomo wake kutangaza na kukidhalilisha chama kilichomzaa kisiasa.
AMESHAKUWA REJECTED NA WADAU
 
Hata ile kujikuta segerea na kulipiwa faini asisahau kulisema.
 
Back
Top Bottom