Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no takataka tu.
Namwona ni mjinga aliyeamua kujidhalilisha kwa kutumia mdomo wake kutangaza na kukidhalilisha chama kilichomzaa kisiasa.
Namwona ni mjinga aliyeamua kujidhalilisha kwa kutumia mdomo wake kutangaza na kukidhalilisha chama kilichomzaa kisiasa.