Peter Serukamba: Spika aache shobo

Peter Serukamba: Spika aache shobo

mkuu Matola ngoja nikuambie kitu,huyu spika ni sukuma gang,na hao covid 19 wameingia kwa mgongo wa sukuma gang,mama anazingua sana ila pia kama sukuma gang wamejishtukia kwahiyo wanafanya juu chini mama aonekane mbaya ingawa pia mama anakopa sana. Najiuliza mama alikuwa makamu wa sukuma gang sasa hivi amewakataa,je 2025 itakwaje
Hapa sasa chezo ndiyo linaanza kunoga. Mungu hadhihakiwi,watamalizana wenyewe kwa wenyewe,bado kidogo tu tutaambiwa alikozikwa Ben Saanane na Azori Gwanda na nani alimpiga Tundu Lissu risasi na alitumwa na nani
 
Gwajima alimwambia Lisu kesho atapigwa lisasi akamuita muongo.
 
Team ZZK. Nadhani mnaona aliyeko nyuma sasa.
 
mkuu Matola ngoja nikuambie kitu,huyu spika ni sukuma gang,na hao covid 19 wameingia kwa mgongo wa sukuma gang,mama anazingua sana ila pia kama sukuma gang wamejishtukia kwahiyo wanafanya juu chini mama aonekane mbaya ingawa pia mama anakopa sana. Najiuliza mama alikuwa makamu wa sukuma gang sasa hivi amewakataa,je 2025 itakwaje
2025 inajulikana wazi sio mjadala,hii ni awamu ya tanu.
 
Job Ndugai hana hadhi ya kuwa spika sema ni vile alikuwa anabebwa na punguani mwenzie lakini eti naye ameanza kuvimba. Maajabu haya!
Maneno na point uliyoandika ya kufungia mwaka 2021 nenda popote ulipo agiza k-vant nakuja kulipa wamwache mama afanye kazi ndio Rais wa nchi
 
Mnafki mkubwa huyo, kama ana uchungu na Tax payers awaondowe bungeni kwanza wahuni wenzake wa covid 19 wanaopokea mshahara haram ilihali siyo wabunge.
Kwaza arudishe mamilioni aliyopiga wakati ameenda sijui kutibiwa india
 
Ni last kick of dying horse, haya masalia ya Sukuma gang ni lazima kuyaeliminate.

Huyo kichaa ndio last hope yao, imeonekana Chakubanga ni debe tupu.

Hahahahaaa ivi unajuwa miziziyao ilipo amaunalopoka tu kama umekatwa kichwa.
 
Back
Top Bottom