Peter: Sihusiki P-Square kuvunjika

Peter: Sihusiki P-Square kuvunjika

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] pussy worshippers?!! #
Peter ni pussy worshipper
Lola kwanza ni mtoto wa mjini sanaaa!kwa kule naija anahis mmewe anaweza simama peke ake

Bora mama yao angekuwepo
Aisee masikini!
afu huyu Jamaa namkubali kuliko Paul!
Kumbe nyumbani kwa moto [emoji23] [emoji23]
 
Sasa anampelekesha mwenzie atoe nyimbo ili yale mafanikio ya psquare ayapate peke yake. Which is impossible.
Wanawake sie
Umeona eeeh!kwanza washabiki tumewazoea kuwaona wote wawili

Ni ubinafs nao pia unachangia maana kaka yao ndo alikua meneja wao so nahis Lola anahis km wanafaidi familia yoote!
 
wangemuweka uyo kaka yao pembeni tu family busines ni headache beyonce mwenyew alimuweka baba ake pembeni maisha yakaendelea
 
Umeona eeeh!kwanza washabiki tumewazoea kuwaona wote wawili

Ni ubinafs nao pia unachangia maana kaka yao ndo alikua meneja wao so nahis Lola anahis km wanafaidi familia yoote!
Halafu kitu kinachonikera sana kuhusu uyu peter anapnda sana kumwekea paul mazingira ya kuonekana ndo mkorofu kwny jamii......alafu mwenzie hata hananaga maneno mengi.
 
Halafu kitu kinachonikera sana kuhusu uyu peter anapnda sana kumwekea paul mazingira ya kuonekana ndo mkorofu kwny jamii......alafu mwenzie hata hananaga maneno mengi.
Paul ni mkimya ht mkewe hana shida!
Peter alitaka kaka yao Jude asiwamanage Paul akakataa
Paul yuko na kaka ake ,Peter yuko kivyake
 
Halafu kitu kinachonikera sana kuhusu uyu peter anapnda sana kumwekea paul mazingira ya kuonekana ndo mkorofu kwny jamii......alafu mwenzie hata hananaga maneno mengi.
Yap, halafu tangu hili bifu lao mi hata sijamsikia huyo kaka akisema jambo lolote.
 
Back
Top Bottom