kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
I agree with you.Peter anatoa nyimbo mbovu mno.....Kabla ajapotea tunamshauri arudi P.Square
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I agree with you.Peter anatoa nyimbo mbovu mno.....Kabla ajapotea tunamshauri arudi P.Square
Yaap!ndo kikwazoLola omotayo......anampelekesha sana peter.
Aisee masikini!Mke wa peter Lola ndo mkorofi na mkubwa km 9yrs hiv au 7yrs
Peter ni pussy worshipperAisee masikini!
afu huyu Jamaa namkubali kuliko Paul!
Kumbe nyumbani kwa moto [emoji23] [emoji23]
Sasa anampelekesha mwenzie atoe nyimbo ili yale mafanikio ya psquare ayapate peke yake. Which is impossible.Yaap!ndo kikwazo
Lola kwanza ni mtoto wa mjini sanaaa!kwa kule naija anahis mmewe anaweza simama peke akePeter ni pussy worshipper
Aisee masikini!
afu huyu Jamaa namkubali kuliko Paul!
Kumbe nyumbani kwa moto [emoji23] [emoji23]
Na kiuhalisia peter hana kipaji cha kuimba in short analazimisha tu.Sasa anampelekesha mwenzie atoe nyimbo ili yale mafanikio ya psquare ayapate peke yake. Which is impossible.
Wanawake sie
Umeona eeeh!kwanza washabiki tumewazoea kuwaona wote wawiliSasa anampelekesha mwenzie atoe nyimbo ili yale mafanikio ya psquare ayapate peke yake. Which is impossible.
Wanawake sie
Kabisa. Yan hata nyimbo za psquare unaona kabisa Paul ndio alikua anabeba kundi.Na kiuhalisia peter hana kipaji cha kuimba in short analazimisha tu.
Halafu kitu kinachonikera sana kuhusu uyu peter anapnda sana kumwekea paul mazingira ya kuonekana ndo mkorofu kwny jamii......alafu mwenzie hata hananaga maneno mengi.Umeona eeeh!kwanza washabiki tumewazoea kuwaona wote wawili
Ni ubinafs nao pia unachangia maana kaka yao ndo alikua meneja wao so nahis Lola anahis km wanafaidi familia yoote!
Kwa hiyo ukishapata mafanikio uliye hustle naye tokea mwanzo wa safari anakuwa hana maana tena.wangemuweka uyo kaka yao pembeni tu family busines ni headache beyonce mwenyew alimuweka baba ake pembeni maisha yakaendelea
Mi nampenda yule mwenye dread, huwa naona huyo ndio ana kipaji zaidi kuliko huyu mwingine.Aisee masikini!
afu huyu Jamaa namkubali kuliko Paul!
Kumbe nyumbani kwa moto [emoji23] [emoji23]
Paul ni mkimya ht mkewe hana shida!Halafu kitu kinachonikera sana kuhusu uyu peter anapnda sana kumwekea paul mazingira ya kuonekana ndo mkorofu kwny jamii......alafu mwenzie hata hananaga maneno mengi.
Kweli kbs, yule mwenye dread ndio yuko vzr.Na kiuhalisia peter hana kipaji cha kuimba in short analazimisha tu.
Yap, halafu tangu hili bifu lao mi hata sijamsikia huyo kaka akisema jambo lolote.Halafu kitu kinachonikera sana kuhusu uyu peter anapnda sana kumwekea paul mazingira ya kuonekana ndo mkorofu kwny jamii......alafu mwenzie hata hananaga maneno mengi.
Lola anamplekesha sana jamaaPaul ni mkimya ht mkewe hana shida!
Peter alitaka kaka yao Jude asiwamanage Paul akakataa
Paul yuko na kaka ake ,Peter yuko kivyake
Mpuuzi tuLola anamplekesha sana jamaa
Yeah upo sahihi.....peter ni kama domo sifa zao zinafanana......wote mademu zao wamewazidi umri alafu full kuongea lopolopo nyingi sana.Mpuuzi tu
Atakumbuka shuka asubuhi
Kaka hana shidaKwa hiyo ukishapata mafanikio uliye hustle naye tokea mwanzo wa safari anakuwa hana maana tena.