Peter: Sihusiki P-Square kuvunjika

Peter: Sihusiki P-Square kuvunjika

nimejaribu kuangalia kwenye followers nimeona peter anafollowers wengi zaidi instagram..this might means anaushawishi mkubwa zaidi
 
Ukipewa nafasi ya kuwa Peter ungefanya maamuzi gani yenye matokeo chanya especially kuhusu marriage life"
Unapaswa kua na hekma km mwanaume usimame kwenye uanaume

Wanawake sisi tuone hivihivi ila tuna tabia zingine mbaya km nyoka!

Mwanaume haswaa hapaswi kuegemea upande mmoja haswaa akijua aina ya mke aliyenaye(japo hicho nacho kipaji)
 
Umeona eeeh!kwanza washabiki tumewazoea kuwaona wote wawili

Ni ubinafs nao pia unachangia maana kaka yao ndo alikua meneja wao so nahis Lola anahis km wanafaidi familia yoote!
Wanawake wa kinigeria wamezid roho mbaya
 
Unapaswa kua na hekma km mwanaume usimame kwenye uanaume

Wanawake sisi tuone hivihivi ila tuna tabia zingine mbaya km nyoka!

Mwanaume haswaa hapaswi kuegemea upande mmoja haswaa akijua aina ya mke aliyenaye(japo hicho nacho kipaji)
Wamekuwa wote kwa miaka mingi enzi hizo yeye hana pesa kama mwanamke.. yote hakuyaona?
Huyo mwanamke kapigwa vita sana na upande wa mwanaume toka wanaanza mahusiano kigezo kikiwa umri na ukabila (habari za mitandaoni) huwezi jua hiyo ilimuumiza na inaendelea kumuumiza kiasi gani. Angekua anapendwa kama Anita sidhani kama hayo mapungufu ya mitandaoni yangekuwepo.
Fans wataongea sana but Peter always side na mkewe na ndo watu wanapochukia. Let people call him all the names but for as long as they are happy as a family life goes on.
 
Back
Top Bottom