Vanestrooy
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 259
- 128
Hataa mapachaaa kumbee.. basi tusiwashangaee ya moto band...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo neno mbona kabla hawajaoa hawakuwa na tatizo?Wanawake ndo tatizo kuna mmoja anapelekeshwa mnoo na mkewe
Wanawake kuna walezi na wabomoaji
[emoji15] [emoji15] kisa? Hakuona wanawake wengine jmnMke wa peter Lola ndo mkorofi na mkubwa km 9yrs hiv au 7yrs
Kuna wanawake wana vielement vya Lucifer aka Delila type!Hili nalo neno mbona kabla hawajaoa hawakuwa na tatizo?
Yaani wanawake sijui tukoje jmn
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mama mchungaji mapenziii[emoji15] [emoji15] kisa? Hakuona wanawake wengine jmn
Ukipewa nafasi ya kuwa Peter ungefanya maamuzi gani yenye matokeo chanya especially kuhusu marriage life"Mkorofi sana yule ndo anawachonganisha wale
Peter anashinda mitandaoni.....Paul anashinda studionimejaribu kuangalia kwenye followers nimeona peter anafollowers wengi zaidi instagram..this might means anaushawishi mkubwa zaidi
Unapaswa kua na hekma km mwanaume usimame kwenye uanaumeUkipewa nafasi ya kuwa Peter ungefanya maamuzi gani yenye matokeo chanya especially kuhusu marriage life"
Wanawake wa kinigeria wamezid roho mbayaUmeona eeeh!kwanza washabiki tumewazoea kuwaona wote wawili
Ni ubinafs nao pia unachangia maana kaka yao ndo alikua meneja wao so nahis Lola anahis km wanafaidi familia yoote!
Balaaa wako na ubinafs sana!Wanawake wa kinigeria wamezid roho mbaya
Wamekuwa wote kwa miaka mingi enzi hizo yeye hana pesa kama mwanamke.. yote hakuyaona?Unapaswa kua na hekma km mwanaume usimame kwenye uanaume
Wanawake sisi tuone hivihivi ila tuna tabia zingine mbaya km nyoka!
Mwanaume haswaa hapaswi kuegemea upande mmoja haswaa akijua aina ya mke aliyenaye(japo hicho nacho kipaji)