Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mmh kuna mambo mengine inabidi uwaze na kulala kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mapungufu kama mapungufu ya rais yeyote duniani.Magufuli sijawahi kutofautiana naye sana katika mambo ya msingi, ninapotofautiana naye sana ni utekelezaji wake.
Anaweza kupanga mpango wa kuteka watu in an extra judicial process, ili awatishe warejeshe mali.
Na wakatishika, wakarejesha mali.
Kwa mtu anayetaka results, atasema tatizo liko wapi, si wamerejesha mali?
Ila kwangu mimi ninayeangalia hata process na kutaka rule of law ifuatiliwe, watu washtakiwe mahakamani, kwa uwazi, kama mali zinataifishwa zitaifishwe kwa uwazi, tujue zinaenda wapi, mtuhumiwa apatiwe fair hearing etc, ukiniletea habari za sreikali kuteka wananchi wake yenyewe kama shortcut ya kupata justice, nitaipinga vibaya sana hiyo serikali.
Hapo ndipo ninapokosana na Magufuli.
Sasa hivi tunaambiwa anarudisha mali, lakini hata hatujui anarudisha wapi.
Inawezekana mwizi mmoja kakamatwa, katishwa, anarudisha mali kwa mwizi mwingine anayempenda Magufuli.
Mali hazirudi serikalini.
Sasa hapo nitafurahia nini? Kwamba mwizi asiyemtaka Magufuli kashikwa, kaporwa mali, halafu mali zikachukuliwa na mwizi mwingine anayempenda Magufuli?
Hizi habari za nidhamu kazini, kuongeza royalties na kodi kutoka extractive industry etc, kote sina objection kimsingi. Objection ni jinsi nanavyofanya mambo, si kuhusu anachotaka kufanya.
Hapana, Obama hajawahi kusema atawapiga shangazi za wapinzani wake.Hayo ni mapungufu kama mapungufu ya rais yeyote duniani.
Tunamsubiri akimaliza zile nyumba na ile meli na yeye atueleze manake muda huo hakuwa mwenye mamlaka, na alitenda akiwa hana kinga, fanya yoote na yeye tunamsubiriMagufuli ni kama kubwa la manyani linalopiga ovyo ovyo bila mpango.
Katika kupiga piga ovyoovyo bila mpango, kila mara 15 linapopiga, halikosi kupatia hata mara moja.
Sikujua kama plate number ilibadilishwa halafu wamefeli na kibano kimebadilika, kama walikuwa wana nia njema kwanini wabadilishe plate numbeeSi wangemwambia kuliko kutaka mteka
Labda mpindue nchi.Tunamsubiri akimaliza zile nyumba na ile meli na yeye atueleze manake muda huo hakuwa mwenye mamlaka, na alitenda akiwa hana kinga, fanya yoote na yeye tunamsubiri
Kwani mapungufu lazima yafanane?Hapana, Obama hajawahi kusema atawapiga shangazi za wapinzani wake.
Hayo si mapungufu kama ya rais yeyote duniani.
Hayo ni mastaajabu na mauzauza ya kujitakia.
Mapungufu hayafanani.Kwani mapungufu lazima yafanane?
Obama hana Mapungufu yake?
Obama hajavamia Nchi za watu na kuua mpaka alijuta?
Magufuli ni kama kubwa la manyani linalopiga ovyo ovyo bila mpango.
Katika kupiga piga ovyoovyo bila mpango, kila mara 15 linapopiga, halikosi kupatia hata mara moja.
Ndicho kitu ninachopigia kelele kila siku hapa.Sasa mkubwa, akifanya hivyo mara mbili hauoni atazidi kuumiza wengi? Hapo ataumiza 28 wasio na hatia na kupatia wawili tu.
Kwanini asiboreshe uwezo wake angalau akipiga mawa nne apatie wawili?
Magari kadhaa, yakiwamo mawili yaliyojaa polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wenye silaha, yalifika kwenye makazi ya mfanyabiashara huyo na kufanya upekuzi
Damn right.Choices have consequences
Mmmmmh!!!! Mapungufu yote anayo mtu mmoja tu?Hayo ni mapungufu kama mapungufu ya rais yeyote duniani.
Ndicho kitu ninachopigia kelele kila siku hapa.
Ila watu wengi bado hawajaelewa.