Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hao wawili watakaoumia wewe umewadharau?Sasa mkubwa, akifanya hivyo mara mbili hauoni atazidi kuumiza wengi? Hapo ataumiza 28 wasio na hatia na kupatia wawili tu.
Kwanini asiboreshe uwezo wake angalau akipiga mara, nne apatie wawili?
Kwahiyo hao wawili watakaoumia wewe umewadharau?
Hakuna jiwe litakalosalia.Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Kwa tume ipi mkuu? Hii hii ya kina Kailima bado sana mkuuchuki na roho za kimasikini zinaizamisha nchi, 2020 hatunywi tena "pombe"
Hatulalamiki mkuu ndiyo maana tunasisitiza nyumba za serikali zilizouzwa kwa bei ya kutupa zirudishwe serikalini na muuzaji afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi.Serikali inarudishiw mali zake na bado kuna mataira wanalalamika!
Totally pathetic walahi!
Umepanic.kawaulize chadema wenye halmashauri ya jiji
Mwaka 2015,kina kubenea na mdee walikua wanabweka kama mbwa koko,na waliapa kuifufua uda.Uongozi sio kupiga kelele bulaza,alichofanyiwa huyo zakaria,wezi wenzie wote wataanza kurudisha maljengo walionunua kwa elfu ishirini.Moshi huko tayari watu saba ndani
hii ilikuwaje mkuu? wanausalama walikua na gari lenye namba za mbusiro?Kwa kubadili namba za gari na kuweka namba za gari ya Mbusiro maana yake ni kwamba Zakaria alitakiwa kuuawa ( sijui kwa nini ) na Mbusiro alitakiwa apewe kesi ya mauaji ya Zakaria ( pia sijui kwanini ) , Bali sasa ieleweke kwamba Mbusiro naye hayuko salama .
Hakika Shetani hana rafiki .
Na pesa jee walizotoa kununua mali hizo?mbona MO hanyang'anywi?Jee siku zijazo chombo chochote cha serikali au ushirika ikitangaza kuuza chochote kuna mtu atanunua?maana baada ya miaka utaambiwa urejesheSerikali inarudishiw mali zake na bado kuna mataira wanalalamika!
Totally pathetic walahi!
Mkuu hizo mali za NCU ziliuzwa na bank ambapo wao ncu walikopa pesa za kununulia pamba,mtu kanunua mali kihalali mpka kupewa hati,inakuaje unamuambia arudishe badala ya kumlipa gharama zke?kinachofanyika sio sawaMagufuli sijawahi kutofautiana naye sana katika mambo ya msingi, ninapotofautiana naye sana ni utekelezaji wake.
Anaweza kupanga mpango wa kuteka watu in an extra judicial process, ili awatishe warejeshe mali.
Na wakatishika, wakarejesha mali.
Kwa mtu anayetaka results, atasema tatizo liko wapi, si wamerejesha mali?
Ila kwangu mimi ninayeangalia hata process na kutaka rule of law ifuatiliwe, watu washtakiwe mahakamani, kwa uwazi, kama mali zinataifishwa zitaifishwe kwa uwazi, tujue zinaenda wapi, mtuhumiwa apatiwe fair hearing etc, ukiniletea habari za sreikali kuteka wananchi wake yenyewe kama shortcut ya kupata justice, nitaipinga vibaya sana hiyo serikali.
Hapo ndipo ninapokosana na Magufuli.
Sasa hivi tunaambiwa anarudisha mali, lakini hata hatujui anarudisha wapi.
Inawezekana mwizi mmoja kakamatwa, katishwa, anarudisha mali kwa mwizi mwingine anayempenda Magufuli.
Mali hazirudi serikalini.
Sasa hapo nitafurahia nini? Kwamba mwizi asiyemtaka Magufuli kashikwa, kaporwa mali, halafu mali zikachukuliwa na mwizi mwingine anayempenda Magufuli?
Hizi habari za nidhamu kazini, kuongeza royalties na kodi kutoka extractive industry etc, kote sina objection kimsingi. Objection ni jinsi nanavyofanya mambo, si kuhusu anachotaka kufanya.
Magufuli ni kama kubwa la manyani linalopiga ovyo ovyo bila mpango.
Katika kupiga piga ovyoovyo bila mpango, kila mara 15 linapopiga, halikosi kupatia hata mara moja.
CCM inafanya siasa za kiwango cha chini sana !hii ilikuwaje mkuu? wanausalama walikua na gari lenye namba za mbusiro?
serikali zote dhalimu hazifuati sheriaMkuu hizo mali za NCU ziliuzwa na bank ambapo wao ncu walikopa pesa za kununulia pamba,mtu kanunua mali kihalali mpka kupewa hati,inakuaje unamuambia arudishe badala ya kumlipa gharama zke?kinachofanyika sio sawa
Mkuu samahani huyo Mbusiro ni nani na amafanya nini na imekuaje watu wa usalama wachague kutumia namba za gari la Mbusiro?Kwa kubadili namba za gari na kuweka namba za gari ya Mbusiro maana yake ni kwamba Zakaria alitakiwa kuuawa ( sijui kwa nini ) na Mbusiro alitakiwa apewe kesi ya mauaji ya Zakaria ( pia sijui kwanini ) , Bali sasa ieleweke kwamba Mbusiro naye hayuko salama .
Hakika Shetani hana rafiki .
good idea but how ?wakati our judiciary haiko huru?kipindi kitakapofika kwa majaji na mahakimu kupatikana kwa watarajiwa kuomba nafasi hizo na kuhojiwa na kamati ya bunge ya sheria na katiba hapo ndipo tutapata nafasi ya kuishitaki serikali mahakamani,but now mtapata tabu sana na muendelee kusubiri meli ya noah pale KIA.mmnh 'watapata tabu sana'
lakini kama ni za kwake kihalali,si awachallenge magufuli na ccm yake through court...