Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

good idea but how ?wakati our judiciary haiko huru?kipindi kitakapofika kwa majaji na mahakimu kupatikana kwa watarajiwa kuomba nafasi hizo na kuhojiwa na kamati ya bunge ya sheria na katiba hapo ndipo tutapata nafasi ya kuishitaki serikali mahakamani,but now mtapata tabu sana na muendelee kusubiri meli ya noah pale KIA.
Kama hio kamati ya bunge ya siasa itakua na watu kama Msukuma,yule mbunge wa Mtela,yule mbunge anaitwa Goodluck itakua ni bure tu.
 
Shirecu itawaacha kina Mgeja kweli?!
Kina Mgeja ndio main target na wote walioshiriki kufilisi vyama vya ushirika. Operesheni imeanza na makada wa chama ili wanaoshangilia sasa wasipate nafasi ya kuhemuka watakapoguswa kina Mgeja & Co.
Vyama vya Ushirika havitawaacha wahujumu uchumi salama awamu hii.
 
Haya ndio makaburi muhimu kufukuliwa.Shirecu iliuwawa kikatili sana,hali kadhalika Kacu, Ginnery ziliuwawa na mashine wakauziwa watu binafsi,na zingine zukapimwa skrepa.
 
Nchi inapelekwa kijambazi kabisa. RC anasema waliovamia kwa Zakaria ni maafisa usalama na wametambulika baada ya kuchapwa risasi.
Ni wazi kabisa walitaka kumteka na kumuua maana haijasemwa sababu nyingine why wao na sio Polisi? Na kwa nini usiku?
Pili oneni ubaya huu, Gari wakaweka namba za bandia ambazo ni namba za mfanyabiashara mwingine anayejulikana ili hata wakinuua wanaacha uhasama na huyo mwenye kufahamika kumiliki Gari ya namba hizo.
Jee kweli huo ni usalama Wa taifa au UHASAMA Wa taifa? Matatizo yetu kwa sasa ni from within
Wataka kusema kwamba hatuna usalama wa taifa tena?!!
 
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Unakuaje muhujumu uchumi uliyeuziwa kwa kufuata sheria zote zilizowekwa! Labda hao walioidhinisha kuuza mali za umma ndiyo wahujumu! Kwa maana hiyo wa mwanzo kukamatwa na kushtakiwa wawe Rais Mkapa na Magufuli!
 
Ila jiwe ana roho ya choyo ya kutopenda wenzie wawe nacho.
Uwe nacho kwa njia halali, vyama vya ushirika mali ya wakulima, nguvu yao na jasho lao vimekuwa njia ya wasomi wachache na wajanja wachache kuvinyonya, hii si sawa kabisa...kinachoniudhi anajenga huku anabomoa kule(refer kwa korosho)
 
Hivi kununua mali za ushirika(kihalali) ni uhujumu uchumi?
 
Mkuu hizo mali za NCU ziliuzwa na bank ambapo wao ncu walikopa pesa za kununulia pamba,mtu kanunua mali kihalali mpka kupewa hati,inakuaje unamuambia arudishe badala ya kumlipa gharama zke?kinachofanyika sio sawa
Hapo ndipo Magufuli anapokosea, kwa sababu hata kama Zzakaria ni jambazi na kanunua mali kinyume na sheria, anatakiwa kuhukumiwa na mahakama wazi na kama kuna mchakato wa kisheria wa kutaifisha mali, ufuatwe.

Kwa sasa hivi mambo yanaenda kwa kile wanasheria wanachokiita "extra judicial process". Yani mchakato haufuati sheria wala mahakama, ni watu wasiojulikana wanakuteka, wanakutisha tu mpaka unarudisha mali kusikojulikana.

Ndiyo maana nina matatizo mengi sana na utawala wa Magufuli hata pale unapotaka kufuatilia mali ambazo zinaweza kuwa zimeuzwa vibaya za serikali, unafuatilia kihuni.

Halafu Magufuli mwenyewe kauza nyumba za serikali, tumegawiana Oysterbay. Kauzia mpaka ndugu yake na hawara wake.Na yeye anafanywa nini?
 
Mkuu yote usemayo ni kweli huyu jamaa mwezi mchanga kichwani,yeye amefanya ufisadi kupita hata chenge ila haoni kundule lake,tanroad ndio wizara chafu kwa miaka 10 CAG kila siku anaipa ripoti chafu na jiwe kakaa kimya kwa vile nae mhusika.
Hilo jengo la NCU zakaria alinunua kwenye mnada wa bank kwa 700m kma sikosei mpka kupewa hata ya hiyo mali,leo unataka uchukue bure tu kwa chuki zake
 
Haya ndio makaburi muhimu kufukuliwa.Shirecu iliuwawa kikatili sana,hali kadhalika Kacu, Ginnery ziliuwawa na mashine wakauziwa watu binafsi,na zingine zukapimwa skrepa.
Kabisa mkuu. Watu walifanya ukatili wa ajabu huku wakiwa wamejificha kwenye miamvuli ya vyama vya Siasa. Tutayasikia na kuyaona mengi katika haya makaburi ya vyama vya ushirika. Muda utaongea.
 
Kabisa mkuu. Watu walifanya ukatili wa ajabu huku wakiwa wamejificha kwenye miamvuli ya vyama vya Siasa. Tutayasikia na kuyaona mengi katika haya makaburi ya vyama vya ushirika. Muda utaongea.
Ni kukomaa nao mpaka warudishe mali za ushirika kama Zakaria.
 
Kama alinunua kwa kufuata sheria tatizo liko wapi..?

Ikiwa ameamua kuzirudisha kwa hiyari yake mwenyewe ,ni jambo zuri na yeye arudishiwe pesa yake afanye miradi mingine.
 
Asisahau kuwakamua majipu na wale wa KCU Kagera
 
Back
Top Bottom