Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

kama unalijua hilo mbona ulikua unaruka ruka wakati jacobo na kubenea wanawadanganya
Aliewapa jina la tanapa hakukosea
Kuwa wazi ueleweke, waongo utawajua kwa jinsi wanavyo ingiza maneno kimtego
 
Kuna shi
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Kuna shida kubwa zaidi ya hiyo hta nikiisema hapa hamtanielewa. Kwa wanaomjua Zakaria amefanya mambo mengi sana ya kikatili nadhani wakati wa matajiri kuwaonea wanyinge umefikia tamati!
 
Kuna shi

Kuna shida kubwa zaidi ya hiyo hta nikiisema hapa hamtanielewa. Kwa wanaomjua Zakaria amefanya mambo mengi sana ya kikatili nadhani wakati wa matajiri kuwaonea wanyinge umefikia tamati!
Masikini mna tabu sana, kama ulicheza na mali zake ulitaka akuchekee??
 
Mo Dewji,
Nyumba za serekali ,
Abudi wa Moro

Mali za serekali zirudi
 
Kila aliyekula pesa za umma kwa ujanjaujanja lazima arudishe hongera serekali ya awamu ya tano tunataka hata wale waliouza ovyo viwanda vyetu kama General tyre ya Arusha na vingine na wao warudishe mara moja
 
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
....kila mtu apambane na hali yake, usiibe kwakuwa wengine wanaiba !
 
Hapana, Obama hajawahi kusema atawapiga shangazi za wapinzani wake.

Hayo si mapungufu kama ya rais yeyote duniani.

Hayo ni mastaajabu na mauzauza ya kujitakia.
...kama unaahidi mbele ya bunge kuwa 'unalianzisha' then unategemea kulianzisha na nani kama si shangazi zako !....hao hao ndo wakuanza nao.
 
Kwa kubadili namba za gari na kuweka namba za gari ya Mbusiro maana yake ni kwamba Zakaria alitakiwa kuuawa ( sijui kwa nini ) na Mbusiro alitakiwa apewe kesi ya mauaji ya Zakaria ( pia sijui kwanini ) , Bali sasa ieleweke kwamba Mbusiro naye hayuko salama .

Hakika Shetani hana rafiki .
...waende nao hivyo hivyo kimtindo mtindo !
 
Back
Top Bottom