Nuance please....kama unaahidi mbele ya bunge kuwa 'unalianzisha' then unategemea kulianzisha na nani kama si shangazi zako !....hao hao ndo wakuanza nao.
...mantiki ni kulianzisha kwa yule bwege aliye ongea 'ubwege' bungeni.....tena unapiga mpaka mamake !Nuance please.
Alianzishe kwa Shangazi wajomba anawaogopa?
Angelianzisha kwake mwenyewe alivyouza nyumba za umma kinyume na utaratibu ningemuona ana mantiki sana.
Huyo mamake unapiga kwa kosa gani sasa?...mantiki ni kulianzisha kwa yule bwege aliye ongea 'ubwege' bungeni.....tena unapiga mpaka mamake !
Hakuna aliyeiba mkuu, wote waliuziwa kihalali mikataba ya kuuziwa ipo. Zakaria akienda mahakamani lazima awagalagaze, haya ndiyo matatizo ya jiwe huwa linaropoka tu bila kuchekecha kichwa kwanza! Bichwa kama embe dodo!1....kila mtu apambane na hali yake, usiibe kwakuwa wengine wanaiba !
.....kununua ghorofa kwa milioni 10, baada kuhonga viongozi wote wa ushirika ndo ajione mjanja ! Atazitoa kwenye tundu lolote lile alilo nalo. Usiwe kama wale wajinga waliomtangaza mtu fisadi, kisha wakabadilisha gia angani.Hakuna aliyeiba mkuu, wote waliuziwa kihalali mikataba ya kuuziwa ipo. Zakaria akienda mahakamani lazima awagalagaze, haya ndiyo matatizo ya jiwe huwa linaropoka tu bila kuchekecha kichwa kwanza! Bichwa kama embe dodo!1
Kutomfunza mwanae vizuriHuyo mamake unapiga kwa kosa gani sasa?
Unajuaje kwamba mama hajamfunza mwanae vizuri?Kutomfunza mwanae vizuri
Kadhulumu ki vp wakati tangazo la kuuza na yeye kaomba kapewa na kalipia?jee utajuaje kununua mali ya ushirika ni dhuluma?...yeye hakudhulumu mali ya ushirika !?
ACHA UJINGA HUMJUI UNAYE MTETEA DHULMA NA MABAYA ALIYOFANYA PZ ANALIPA HAPAHAPA KABLA HAJAONDOKA CHINI YA JUA HASA DREVA WA BASI LA MPINZANI WAKE KI-BIASHARA ALIVYOMWAGIWA TINDIKALI NA KUFIA HOSPTAL TEULE YA BUNDA SIMPENDI HUYU BWANA MPAKA MWISHOMbaya sana awamu hii ni dhuluma kwa kwenda mbele! mfanyabiashara ni adui.Mungu yupo lakini
Neno kuntuKama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Mwanamke ndo atapata tabu sana maana mali nyingi zimeandikwa jina lake
"Gangster business"
Kwani yeye wakati anauziwa alikuwa hajui kama ni mali za shirika?