Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

...kama unaahidi mbele ya bunge kuwa 'unalianzisha' then unategemea kulianzisha na nani kama si shangazi zako !....hao hao ndo wakuanza nao.
Nuance please.

Alianzishe kwa Shangazi wajomba anawaogopa?

Angelianzisha kwake mwenyewe alivyouza nyumba za umma kinyume na utaratibu ningemuona ana mantiki sana.
 
Nuance please.

Alianzishe kwa Shangazi wajomba anawaogopa?

Angelianzisha kwake mwenyewe alivyouza nyumba za umma kinyume na utaratibu ningemuona ana mantiki sana.
...mantiki ni kulianzisha kwa yule bwege aliye ongea 'ubwege' bungeni.....tena unapiga mpaka mamake !
 
....kila mtu apambane na hali yake, usiibe kwakuwa wengine wanaiba !
Hakuna aliyeiba mkuu, wote waliuziwa kihalali mikataba ya kuuziwa ipo. Zakaria akienda mahakamani lazima awagalagaze, haya ndiyo matatizo ya jiwe huwa linaropoka tu bila kuchekecha kichwa kwanza! Bichwa kama embe dodo!1
 
.....kununua ghorofa kwa milioni 10, baada kuhonga viongozi wote wa ushirika ndo ajione mjanja ! Atazitoa kwenye tundu lolote lile alilo nalo. Usiwe kama wale wajinga waliomtangaza mtu fisadi, kisha wakabadilisha gia angani.
 
Round zimebaki chache apite aende zake waje wengine nao tuone itakuwaje. Si bado miaka 7 tu sio mingi
 
ach
Mbaya sana awamu hii ni dhuluma kwa kwenda mbele! mfanyabiashara ni adui.Mungu yupo lakini
ACHA UJINGA HUMJUI UNAYE MTETEA DHULMA NA MABAYA ALIYOFANYA PZ ANALIPA HAPAHAPA KABLA HAJAONDOKA CHINI YA JUA HASA DREVA WA BASI LA MPINZANI WAKE KI-BIASHARA ALIVYOMWAGIWA TINDIKALI NA KUFIA HOSPTAL TEULE YA BUNDA SIMPENDI HUYU BWANA MPAKA MWISHO
 
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Neno kuntu
 
Asipowashughurikia hawa vibaka tunamponda, akiwashughurikia tunasema anawaonea!! Kweli uongozi ni tabu tupu!!
 
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!

What's the latest ground so far?

-Kaveli-
 
Hivi ni kwanini Magufuli alikua anawachukia matajiri??

Nina ndugu yangu pia alipata kashkash mno kidogo auwawe kisa tu alikua na ukwasi hapo mtaani.
Tulihangaika mno hadi alipokuja kuachiwa muda mrefu baadae.

Aliwashika akili masikini na wasiojiweza huku watanzania wenzao waliojitafuta kwa nguvu zao na kujipata wakiishi kwa tabu mno.

Laiti kama angeendelea kua raisi mpaka sasa, mpaka mwaka huu 2024 angekua ashamalizana na matajiri wote, angegeukia kwa hao ndgu zake wakuitwa wanyonge, wangelikamuliwa mbaya mbovu.
 
Back
Top Bottom