Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ni mpambe wa mama ubaya huyo demu ni mdogo wa ndomo, umaafu wao ni uko insta tu hakuna anayewajua mjini apa
Kisa ninii alikataaaa,hatujasikia zawadi kutoka kwa dada, mahali yenyewe sh.ngapiii???
Kisa nini mumie?
Jamani ndoa inaandikwa na mungu kwani huyo domo ana nini kikubwa yeye mbona anachezea watoto wa wenzie petit kiboko ya diamond tena na wewe lipiza hasa aone uchungu hajataka uchumba wa kusomea udaktari kafanya kweli akichukia huyo domo alambe siki fyuuu mixx
hata mimi nimefurahije sasa..akomeeeeeeee akichakaza wa wenzie na wake atachakazwa vile vile na ataletewa mjomba na matumizi atoe yeye
Nyie wawanawake mnaonaomwita mtoto wa mwanamke cjui ndomo wengine hapo mlipo hata kunaniliu bado mnahisa gani kwa mungu ebu temeheni mate chini hao wao wanaume zenu mnaona mahb siku watawakateeni mtakapo leta nguchiro dunian

ndomo,ndomo,ndomo,ndoooooomooooooo......haya andamana sasa!!!
Nyie wawanawake mnaonaomwita mtoto wa mwanamke cjui ndomo wengine hapo mlipo hata kunaniliu bado mnahisa gani kwa mungu ebu temeheni mate chini hao wao wanaume zenu mnaona mahb siku watawakateeni mtakapo leta nguchiro dunian
Huyu petitiman ninani hasa
Mwenyekumjua plz
Petii Man wamuache. Kazi yake kubwa kwa sasa ni kubeba pochi la Wema.