PETIT MAN afunga ndoa na ESMA PLATNUM

PETIT MAN afunga ndoa na ESMA PLATNUM

Jamani ndoa inaandikwa na mungu kwani huyo domo ana nini kikubwa yeye mbona anachezea watoto wa wenzie petit kiboko ya diamond tena na wewe lipiza hasa aone uchungu hajataka uchumba wa kusomea udaktari kafanya kweli akichukia huyo domo alambe siki fyuuu mixx
 
Mume anafanya kazi au mfanya biashara? Na huyo jamaa ni mtanzania ? Naona mashaka tuu mie sielewi ivo.....
 
Isije kuwa kama Hii

JOTINALULUMICHAEL7.jpg
 
Jamani ndoa inaandikwa na mungu kwani huyo domo ana nini kikubwa yeye mbona anachezea watoto wa wenzie petit kiboko ya diamond tena na wewe lipiza hasa aone uchungu hajataka uchumba wa kusomea udaktari kafanya kweli akichukia huyo domo alambe siki fyuuu mixx

hata mimi nimefurahije sasa..akomeeeeeeee akichakaza wa wenzie na wake atachakazwa vile vile na ataletewa mjomba na matumizi atoe yeye
 
Nasikia ndomo aliisusia Mahari, ila akapokea mjomba Wao siijui Anaitwa salu, nadhani Huyo Marioooo atakuwa anajituma balaa kitandani, maana wadada wapumbavu ndio huwa wanaangalia hayo, haya homgera Zao!!!!
 
Nyie wawanawake mnaonaomwita mtoto wa mwanamke cjui ndomo wengine hapo mlipo hata kunaniliu bado mnahisa gani kwa mungu ebu temeheni mate chini hao wao wanaume zenu mnaona mahb siku watawakateeni mtakapo leta nguchiro dunian
 
Mmmh ww vipi tena kwani mbona unalalamika as if ndomo anakuhusu vile
 
Nyie wawanawake mnaonaomwita mtoto wa mwanamke cjui ndomo wengine hapo mlipo hata kunaniliu bado mnahisa gani kwa mungu ebu temeheni mate chini hao wao wanaume zenu mnaona mahb siku watawakateeni mtakapo leta nguchiro dunian

Ndomo,ndomo,ndomo,ndoooooomooooooo......haya andamana sasa!!!
 
Back
Top Bottom