Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

Mtoto mdogo em acheni izo bana demu kubwa lile kabisa sooner than later anaanza menopause...

Mtoto ni chini ya miaka 15 zaidi ya hapo unaruhusiwa kuweka ndani.

We kwakua ni mzee basi haina maana uliowazidi umri ni watoto!
Hahahahahaaa.. Sina uzee huo hata 35 sijafika nakuaje Mzee lakini? Basi tu mabinti wa 20-24 nawaonaga wadogo
 
24 atakuaje mdogo sasa jamani...si jitu kubwa kabisa ilo viungo vya vya uzazi vimeshakomaa?

Ukishazidi 20 mwanamke we ni mzee!
Demu Mtoto ni yule anayevaa uniform .
 
Hahahahahaaa.. Mbona nasikia hiyo wanawake libido inakua high Sana kwenye menopause
libido very very high. Mvuto umepotea. Wanaume wanakimbilia damu changa.

Sasa Kama huna hela ya kukufanya uwe sugar mammy ndo utajua kwanini walisema fainali uzeeni.

Tena siku hizi zinaanzia mapema tu miaka 40 kwisha kazi!
 
Hivi kweli Karen kaolewa na jamaa?

Nkikumbuke huyo Karen alimkazia mdogo wangu hata kupiga nae mechi ya kibingwa afu kaenda kwa mjinga mjinga roho inaniuma utafiki alininyima mimi
 
Daaah.. Ndo maana watu wanafuga tu viben10..
 
Sio kweli shemeji ake Karen kuwa na amani
 
Daaah.. Ndo maana watu wanafuga tu viben10..
Ndo ufanye na ww utafute hela ya pension upate mfugo wa kufuga baadae....

Mnakula machips mayai mwanzo mwisho...miaka 40 kitu kimetiki....akati zamani wenzenu walikua wanaenda mpaka kwenye 50's
 
Mi kufuga mwanaume sijawaza bado.. Nikikaribia 40 huko and single ntatafuta MTU mzima mwenzangu tusogeze nae uzee..
Ila chips mayai zilivyo tamu jamani acha tu Menopause ije mapema Cha Muhimu Uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…