Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaa.. Sina uzee huo hata 35 sijafika nakuaje Mzee lakini? Basi tu mabinti wa 20-24 nawaonaga wadogoMtoto mdogo em acheni izo bana demu kubwa lile kabisa sooner than later anaanza menopause...
Mtoto ni chini ya miaka 15 zaidi ya hapo unaruhusiwa kuweka ndani.
We kwakua ni mzee basi haina maana uliowazidi umri ni watoto!
24 atakuaje mdogo sasa jamani...si jitu kubwa kabisa ilo viungo vya vya uzazi vimeshakomaa?Hahahahahaaa.. Sina uzee huo hata 35 sijafika nakuaje Mzee lakini? Basi tu mabinti wa 20-24 nawaonaga wadogo
Lol... Basi aolewe tuu24 atakuaje mdogo sasa jamani...si jitu kubwa kabisa ilo viungo vya vya uzazi vimeshakomaa?
Ukishazidi 20 mwanamke we ni mzee!
Demu Mtoto ni yule anayevaa uniform .
Hahahahahaaa.. Sina uzee huo hata 35 sijafika nakuaje Mzee lakini? Basi tu mabinti wa 20-24 nawaonaga wadogo
Itategemea kama atapata muoaji sasaLol... Basi aolewe tuu
Mjini wote mabeb mkuuMmmh ulivoukataa huo uzee ...Kwel uzeee mwisho chalinze...[emoji3][emoji3]
Sensitive issue iyo kwa mwanamke ujueMmmh ulivoukataa huo uzee ...Kwel uzeee mwisho chalinze...[emoji3][emoji3]
Si Petit man.. HahahahahaaItategemea kama atapata muoaji sasa
Hahah basi noma sana iyoSensitive issue iyo kwa mwanamke ujue
Kuna kitu inaitwa menopause iyo iskie tu kwa wifi ako
Sawa bebii [emoji3][emoji3][emoji3]Mjini wote mabeb mkuu
Hahahahahaaa.. Mbona nasikia hiyo wanawake libido inakua high Sana kwenye menopauseSensitive issue iyo kwa mwanamke ujue
Kuna kitu inaitwa menopause iyo iskie tu kwa wifi ako
libido very very high. Mvuto umepotea. Wanaume wanakimbilia damu changa.Hahahahahaaa.. Mbona nasikia hiyo wanawake libido inakua high Sana kwenye menopause
Hivi kweli Karen kaolewa na jamaa?Hahahahahaaa.. Mbona nasikia hiyo wanawake libido inakua high Sana kwenye menopause
Daaah.. Ndo maana watu wanafuga tu viben10..libido very very high. Mvuto umepotea. Wanaume wanakimbilia damu changa.
Sasa Kama huna hela ya kukufanya uwe sugar mammy ndo utajua kwanini walisema fainali uzeeni.
Tena siku hizi zinaanzia mapema tu miaka 40 kwisha kazi!
Sio kweli shemeji ake Karen kuwa na amaniHivi kweli Karen kaolewa na jamaa?
Nkikumbuke huyo Karen alimkazia mdogo wangu hata kupiga nae mechi ya kibingwa afu kaenda kwa mjinga mjinga roho inaniuma utafiki alininyima mimi
Ndo ufanye na ww utafute hela ya pension upate mfugo wa kufuga baadae....Daaah.. Ndo maana watu wanafuga tu viben10..
ukiniuliza mtu kama mimi naona hicho ndo cha maana zaidi,ukishakuwa na pesa unaoa mwanaume unayemtaka na atakuheshimu atake asitake Esma hana alichopoteza.Amebaki na duka lake la vitenge
Mi kufuga mwanaume sijawaza bado.. Nikikaribia 40 huko and single ntatafuta MTU mzima mwenzangu tusogeze nae uzee..Ndo ufanye na ww utafute hela ya pension upate mfugo wa kufuga baadae....
Mnakula machips mayai mwanzo mwisho...miaka 40 kitu kimetiki....akati zamani wenzenu walikua wanaenda mpaka kwenye 50's