witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haaahaaa... Kajamaa kana visenti usikachukulie poaSasa huyo jamaa atamlisha nin huyo binti Hapa town?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaaa... Kajamaa kana visenti usikachukulie poaSasa huyo jamaa atamlisha nin huyo binti Hapa town?
Labda ni kiki ya wimbo.Sijui anakimbilia wapi.. Mdogo Sana kujiingiza kwenye ndoa Na mwanaume Kama Petit
Habari zao za ndani namna hii umezipata wapi?
Wakongwe mnaona makosa sasaKama ni kweli basi Karen kachemka. Ndoa saa hizi??
Sasa huyo Posh anahusianaje na Gadner?Sio Karen bana amemuoa dada mmoja alimpost juz anaitwa posh nani cjui huko.
Ohoooo!!!Mtoto kamuambia akimkatalia kuolewa atakunywa sumu kakosa namna.
Halafu wahuni now days ndo wanaongoza kuoa, nimesikitika sana...Huyo Gardner kakubalije mtoto wake aolewe na muhuni asee?
Wadogo zinapitisha haja ndogo tuu[emoji1562][emoji1562][emoji1562]Huyo mtt wa Gardner si kizazi cha 2000?,mbona bado mdogo sana
Kapata mkwe mhuniHuyo Gardner kakubalije mtoto wake aolewe na muhuni asee?
Naona povu umelitoa kama loteKwanini uwaite wenzio bogus mkuu? Wanasema kama hauwezi kuongea jambo zuri kuhusu mwenzako, bora ukae kimya.
Unaweza ukawa sahihi lakini kumbuka huo ni mtazamo wako tu mkuu. Unaheshimika sana hapa jukwaani.
Usikute kashajazwaaKama ni kweli basi Karen kachemka. Ndoa saa hizi??
ndugu una mtoto wa kike???Aaaaah bi mkubwa hapa tutauana tu ,hakuna namna nitamtoa mwanangu kwa mwanaume aina ya Petiman