Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

Leteni tu umbea wengine hatujui chochote na me mnajitahidi kufukunyua mambo ya watu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwanini uwaite wenzio bogus mkuu? Wanasema kama hauwezi kuongea jambo zuri kuhusu mwenzako, bora ukae kimya.
Unaweza ukawa sahihi lakini kumbuka huo ni mtazamo wako tu mkuu. Unaheshimika sana hapa jukwaani.
Yaani ni kweli sio busara kabisa, siku yakimfika sijui ataongea nini
 
Back
Top Bottom