Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

Watanzanaia alietuita minyumbu hakukosea.

Inakuwaje mnashindwa kuwaza na kuwazua sinema kama hizi zinazochezwa kila siku ??huwa nawaza hivi hili taifa lina watu wenye akili kichwani kweli au vichwa vimejaa kamasi.

Haiwezekani watu mnashindwa kung'amua kuwa asilimia zaidi ya 90 ya issue za celebs Wa bongo ni kick halafu tusiseme nchi imejaa vichaa.
 
Back
Top Bottom