Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa.

Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya karibuni ya A BOY FROM MADALE.

Kwa niaba ya Watanzania natoa shukrani za dhati kwa Mhe. Dr. Petitman.
Heko
 
Ndio. Jamaa ana migodi ya Almasi Congo pia nchini amewekeza kwenye media house kadhaa. Tuna mengi ya kujifunza toka kwake
Huyo punda wa Majizzo ,ana Migodi?Petit ni punda wa kubeba madawa ya kulevya .
 
Back
Top Bottom