King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Huyo PUNDA akiwa BILIONEA basi mie MKULIMA na MCHOMA Mkaa MINJINGU nitakuwa TRILIONEA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss Sana mzee uko wapi mbona kimya kingi?Huyo PUNDA akiwa BILIONEA basi mie MKULIMA na MCHOMA Mkaa MINJINGU nitakuwa TRILIONEA.
Huyu huyu wakuache ama
Nimemsoma mleta mada ni mshenzi nia yke hasa ilikuwa petitman atukanwe io ndio ilikuwa shida ykePetitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa. Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya karibuni ya A BOY FROM MADALE. Kwa niaba ya Watanzania natoa shukrani za dhati kwa Mhe. Dr. Petitman.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimemsoma mleta mada ni mshenzi nia yke hasa ilikuwa petitman atukanwe io ndio ilikuwa shida yke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemsoma mleta mada ni mshenzi nia yke hasa ilikuwa petitman atukanwe io ndio ilikuwa shida yke
Alosto?petitman hana kitu
🤣 🤣 🤣 kwenye somo la Kiswahili, hii inaitwa Tashtiti (Satire).Mabilionea waliobaki Bongo ni Petit Man na Le Mutuz tu, kina Mo Dewj wanafuatia kwa mbaali.
Zigo lake si lilishaolewa juzi kati hapa na doni mmoja huko Insta kulichafuka na mapicha yao?Bilionea karudia zigo lake. Chezeya Njaa?
Uko sawa, furaha hailetwi na pesanafurahig sana huyo jamaa nikimuona.. ana furaha mda wote.. nahisi ni bilionea wa furaha sio wa fedha... maisha yake simple sana ila ana furaha sana.. ukimwona muda wote