Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Ndio. Jamaa ana migodi ya Almasi Congo pia nchini amewekeza kwenye media house kadhaa. Tuna mengi ya kujifunza toka kwake
Tunajifunza kutoka kwa matapeli mbona nyie vijana mu wepesi sana wa kudanganywa eti tunajifunza kwake ,lipi hilo la kujifunza kwake?
 
Tunajifunza kutoka kwa matapeli mbona nyie vijana mu wepesi sana wa kudanganywa eti tunajifunza kwake ,lipi hilo la kujifunza kwake?
Kuwa na utajiri wa kutisha na bado akawa mnyenyekevu kwa watu
 
Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa. Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya karibuni ya A BOY FROM MADALE. Kwa niaba ya Watanzania natoa shukrani za dhati kwa Mhe. Dr. Petitman.
Huyu Billionea alikuwa mbeba pochi wa Wema
 
Huyu jamaa ana pesa chafu sema hapendi show off...jamaa ni kama kibakuli...ali na petitiman wana pesa chafu kuliko diamond... Petitman hapendi show off anatumia altezza used akiwa bongo...ila kwao congo ana majumba Ferrari, Lamborghini na Bugatti...hawa akina bakhresa na mengi huwa wanakopa kwa jamaa...yule hapendi masifa yani.


Sorry guys nlkua naota [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu petitiman ni the legendary mario wa ma marios wengine hapa mjini[emoji1] [emoji1] povu ruksa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakumbuka aliwai kugombea simu na calisah ambayo alinunuliwa na
Sepenga [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ndo nilikuwa nashangaa hapa,huyu mleta thread kakulupuka..
Mie mwanzoni nilifikiri wanamzungumzia Emanuel Petit baadae ikabidi nicheke tu. Nimeagiza mafuta nianze kufuga rasta soon na mimi taitwa Niliongea Ng'wanapagi
 
Back
Top Bottom