Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Petit mwenyewe kaolewa na Esma platnumz....hahahahaaaa petit ana akili kubwa sana penye kuvuma ndio pale atakaaa no more wema sepetu....na yeye akakaa mbali petit analelewa na esma dangote platnumz
 
Labda kwa sababu jina lake ni petiman mtoa mada kadhan jina linamanisha pesa...ushemeji tu..huo
 
kama analelewa na essma mi basi queen dalin anilee twende sawa
 
Mtoa uzi kanawe uso..alafu urudi kuandika upya
 
Petitman Bilionea? Mbona tungejua mapema? Pesa hazijifichi
 
Wanongo bwana, kwa kifupi event nzima imekuwa sponsored na safaricom, diamond kashalipwa chake. Ni sawa na kusema huyo petit man kawasaidia safaricom kufanikisha event ya diamond huko Kenya. Ninaamza kuamini kwa nini diamond hakufanya hiyo event Tanzania, maana hata juhudi zake ndogo hamuamini mpaka mnaanza kutafuta nani yupo nyuma yake. WaTz wengi hawaamini kufanikiwa bila kubebwa.
Mzee baba usipate shida sana,watanzania ni wachawi wa asili na zawadi hiyo tumerithi kutoka kwa Nyerere
 
Mall ya vitenge ndo ipo mtaa wa machangu pale Kona baa-Afrika Sana???
NB: Mali safi Kongo.
 
We acha kutupiga Fix yaani uyu petiti hana mkwanja wa kutisha isipokuwa yeye anasambaza sembe kwa madoni ndo ishu zake ...isipokuwa anatumia kivuli cha kuwamanage wasanii ili kujibrand kweny bizness zake ..kama angekuwa na mkwanja wakutisha angekuwa amemfikisha mbali sana bilnass na country boy maana yeye ndo boss wao.
 
Hivi huyu jamaa ndio itakuwa maisha yake yote ya mdananda mpaka anazeeka?
 
nafurahig sana huyo jamaa nikimuona.. ana furaha mda wote.. nahisi ni bilionea wa furaha sio wa fedha... maisha yake simple sana ila ana furaha sana.. ukimwona muda wote

anafurahi duniani kesho kaburi atakia maana pesa yake hajaitumia inavyotakiwa muonee huruma
 
Andika pia ndio billionaire wa kwanza kumiliki toyota porte pamoja na brevis ya mkopo........kweli hata mie basi ni billionaire
 
Huyu jamaa ana pesa chafu sema hapendi show off...jamaa ni kama kibakuli...ali na petitiman wana pesa chafu kuliko diamond... Petitman hapendi show off anatumia altezza used akiwa bongo...ila kwao congo ana majumba Ferrari, Lamborghini na Bugatti...hawa akina bakhresa na mengi huwa wanakopa kwa jamaa...yule hapendi masifa yani.


Sorry guys nlkua naota [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu petitiman ni the legendary mario wa ma marios wengine hapa mjini[emoji1] [emoji1] povu ruksa
 
Back
Top Bottom