Tru. anavuta bangi kali sana ndo maana muda wote smiles
kuna sehemu moja tunapataga chakula cha mchana sinza.. nae ndie sehemu yake ya kula.. so tunakutana sana.. hadi wahudumu wa pale wanamuita huzuni mwiko.... jamaa anafuraha sana. na yeye anasema ndivyo alivyo toka mtoto hajawai pigana na mtu au kununa nuna